Kama huu mchoro ni legit umetisha sana kaka.Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani.
Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo yanaleta maji ziwani.
Tunashangaa mafuriko, kumbe hayo maeneo ni sehemu Mungu aliitenga kwa ajili ya maji.
Hakuna namna ya kuiponya Dsm dhidi ya mafuriko.
Wilaya pekee isiyo na mafuriko ni Kigamboni.
View attachment 2878546
Mito ikijengewa kingo zake mafuriko yanaisha. Kumbuka miji yote duniani, kandokando mwa bahari, ilipojengwa enzi hizo ilitumia maji yasiyokuwa ya bahari hivyo kulikuwa na vyanzo vya maji baridi kama mito. Ikijengewa mafuriko inabaki historia.Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani.
Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo yanaleta maji ziwani.
Tunashangaa mafuriko, kumbe hayo maeneo ni sehemu Mungu aliitenga kwa ajili ya maji.
Hakuna namna ya kuiponya Dsm dhidi ya mafuriko.
Wilaya pekee isiyo na mafuriko ni Kigamboni.
View attachment 2878546
Malasusa amesema wanaotaka kuandamana wamelaaniwaAngalia akili zako, walioharibu miundo mhinu ni CHADEMA ama CCM. Unajua kada wenu alijenga kwenye njia ya mkondo wa maji? CCM imeuza sehemu zote za wazi, wanauza mpaka Bandari sasa hapo nani mkosefu.
SERIKALI ya ccm imeruhusu UJENZI wa hovyo maeneo mengi ya Jiji la Dsm leo Kila sehemu ni mafurikoWakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani.
Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo yanaleta maji ziwani.
Tunashangaa mafuriko, kumbe hayo maeneo ni sehemu Mungu aliitenga kwa ajili ya maji.
Hakuna namna ya kuiponya Dsm dhidi ya mafuriko.
Wilaya pekee isiyo na mafuriko ni Kigamboni.
View attachment 2878546
Na bado mmepangapo? Nimewaacha waliojengaNdio maana sinza kuwe na mvua kuwe na jua mimaji kila kona
Hivi kuna mtu sasa hivi ananunua sehemu sinza kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi 😄 labda kwa ajili ya fremu lodge au hotelNa bado mmepangapo? Nimewaacha waliojenga
Watu wa Dar mnashindwa? Si mnapendelea status ya kukaa mjini bila kujali dhorubaHivi kuna mtu sasa hivi ananunua sehemu sinza kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi 😄 labda kwa ajili ya fremu lodge au hotel
Dada umeongea kinyumbani kabisa Mmepangapo daah...Na bado mmepangapo? Nimewaacha waliojenga
Hahaha nyumbani ni zone gani?Dada umeongea kinyumbani kabisa Mmepangapo daah...
Nyanda za juu kusiniHahaha nyumbani ni zone gani?
Amelaaniwa yeye na ukoo wake woteMalasusa amesema wanaotaka kuandamana wamelaaniwa
Ila sinza hapana aisee kuna mstari mwembamba sana unao tofautisha sinza na manzeseWatu wa Dar mnashindwa? Si mnapendelea status ya kukaa mjini bila kujali dhoruba