Mafuriko Dar wa Salaam City Centre 29.04.2021

mkoloni mpaka anaondoka aliache miundo mbinu mizuri kabisa, mji ulikuwa na sewage system nzuri kabisa, maji yalikuwa yanaenda baharini vizuri kabisa....kilichotakiwa kutoka kwetu ni good maintenance and repair + improving systems vs population increase...

tulipoanza kuujenga mji wenyewe tumepuyanga kila mahala, tumeshindwa kujenga kwa kuangalia kesho yetu kitalaam kwa maana ya mifumo ya kupeleka maji baharini, controlling ya ukuaji wa miji, namna bora ya uvunaji maji ya mvua kwa ajili ya matumizi, nk... hali inatuvua nguo kabisa na kuonyesha namna vichwa vyetu vilivyo...
 
kosa hili hili lililofanyika Dar es salaam linafanyika kwenye majiji mengine yanayokua kama Dodoma, Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya nk.....sijui watu wetu wanavyokuwa busy maofisini na kupita kwenye mabarabara kwa kasi huwa wanawahi wapi? huku vitu vidogo vya msingi kama hivi vinawashinda...
 
mkoloni mpaka anaondoka aliache miundo mbinu mizuri kabisa, mji ulikuwa na sewage system nzuri kabisa, maji yalikuwa yanaenda baharini vizuri kabisa....kilichotakiwa kutoka kwetu ni good maintenance and repair + improving systems vs population increase...

tulipoanza kuujenga mji wenyewe tumepuyanga kila mahala, tumeshindwa kujenga kwa kuangalia kesho yetu kitalaam kwa maana ya mifumo ya kupeleka maji baharini, controlling ya ukuaji wa miji, namna bora ya uvunaji maji ya mvua kwa ajili ya matumizi, nk... hali inatuvua nguo kabisa na kuonyesha namna vichwa vyetu vilivyo...
Kadri ya vegetation cover inavyokua chache, ndivyo ongezeko la maji huwa kubwa,ndiyo maana kwenye majani maji hutiririka machache vichakani hadi mvua iwe kubwa ndipo utaona maji. Lakini maeneo ambayo hayana miti wala majani na ni makazi maji hukusanywa kwa uwingi sana kama ambavyo bati hukusanya maji mengi. Mambo ya mabadiliko ya tabia za nchi, ongezeko kubwa la idadi ya watu, tabia kinzani za kutupa uchafu, shughuli za kibinadam, global warming nk vimebadili tabia za zamani na kuleta changamoto.
 
Back
Top Bottom