Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mimi nilijua kuwa CDM ilikwisha Bai Bai.....kumbe mnasubiri octoberMatokeo utayaona October
Chadema bai bai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilijua kuwa CDM ilikwisha Bai Bai.....kumbe mnasubiri octoberMatokeo utayaona October
Chadema bai bai
Maisha yapo kasi sana yaani huoni wabunge waliotoka chadema kwenda ccm kweli wewe nguluia!Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.
Swali:Mafuriko hayo yako wapi?
Je,wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni, ndio hao ambao tuliambiwa wangesababisha mafuriko?
Na je,kaburi la CHADEMA liko wapi?
Watu wanaoendelea kuhamia CHADEMA kutoka vyama vingine kama kina Felix Mkosamali,wanatoa ujumbe gani kwa wanaodai CHADEMA inakufa?
Kwa sasa, tusubiri hatima ya kitisho kingine kutoka kwa watu walewale kuwa CHADEMA itaambulia wabunge wachache sana safari hii au isipate mbunge hata mmoja.
Jambo lingine,subirini kuona hamasa ya wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huku nyie mkitegemea wasanii wa muziki wawasaidie kujaza mikutanon yenu.
Ukweli usiosemwa au kutojulikana kwa wengi:kuna mtu alifikiri mpaka tunaingia kwenye kampeni,upinzani utakuwa umeshasambaratika kabisa na kwamba asingepata tabu au ushindani wowote katika harakati zake za kurudi ofisini kwa awamu ya pili jambo ambalo mpaka sasa limefeli hivyo ajiandae kupambana kwani hakuna ushindi wa mezani hata akitangazwa mshindi.
Mungu si Magu!
Sio kuona pushups za viuno kama anavyo faidi yule wa wilaya ilipo shule ya Minaki?Watu watafurika kumshuhudia muhanga wa Faru John na si vingine.
Wamewachuuza wamama wabunge viti maalumu kujitangaza eti walikuwa wanapigwa ngono hovyo sasa wamewaharibia.Huo wimbo umechuja, wamejitutumua kununua wapinzani matokeo yake wanaokota wa bei rahisi tu; sasa wanaona vile vichwa adimu vya bei ghali havinunuliki, wameanza kuleta story za kutengeneza sijui Lema anamsema Lissu, wana upuuzi upuuzi mwingi tu.
Huyo wa wiliya mbona huwa mnamuonea wivu sana? Kwanini usitumie njia zake ili na wewe ufaidi kuliko kuendelea kumuonea wivu bint mwenzio humu mitandaoni?Sio kuona pushups za viuno kama anavyo faidi yule wa wilaya ilipo shule ya Minaki?
Acheni mawe mkiishi kwenye nyumba za vioo, tunaelekea kwenye kampeni ukirusha jiwe utajibiwa na matatu!
Hivi wewe akili yako huwa timamu au ina wallakini?Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
hata misukule ya kule Libya ilikuwa inatamka maneno kama haya haya yako!Mtasubiri sana
Safari hii tutahakikisha anaruka kichurachura siyo pushup tena!Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.
Swali:Mafuriko hayo yako wapi?
Je,wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni, ndio hao ambao tuliambiwa wangesababisha mafuriko?
Na je,kaburi la CHADEMA liko wapi?
Watu wanaoendelea kuhamia CHADEMA kutoka vyama vingine kama kina Felix Mkosamali,wanatoa ujumbe gani kwa wanaodai CHADEMA inakufa?
Kwa sasa, tusubiri hatima ya kitisho kingine kutoka kwa watu walewale kuwa CHADEMA itaambulia wabunge wachache sana safari hii au isipate mbunge hata mmoja.
Jambo lingine,subirini kuona hamasa ya wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huku nyie mkitegemea wasanii wa muziki wawasaidie kujaza mikutanon yenu.
Ukweli usiosemwa au kutojulikana kwa wengi:kuna mtu alifikiri mpaka tunaingia kwenye kampeni,upinzani utakuwa umeshasambaratika kabisa na kwamba asingepata tabu au ushindani wowote katika harakati zake za kurudi ofisini kwa awamu ya pili jambo ambalo mpaka sasa limefeli hivyo ajiandae kupambana kwani hakuna ushindi wa mezani hata akitangazwa mshindi.
Mungu si Magu!
Huo upinzani uliolegea kama mlenda ndiyo unawafanya msilale usingizi,mnawateka,mnawapiga risasi,mnawabambikia kesi,kuwapiga/kuwavamia na kuwatungia visheria nje na Katiba?Hapo mnajiona wajanjaaa!Endeleeni kununua chuya mchele umebaki na wajanja.Mkuu upinzani wa awamu hii umelegea mithiri ya mlenda
Mafuriko kwenye mikutano sio kigezo cha wingi wa kura, pale watu wanaenda kusikiliza seraSubiri kuona mikutano ya wapinzani itavyofurika watu ndio mjue mtashindwa kwa nguvu ya dola na si kwa kukubalika na hili pia linaweza kukwama vile vile kama mlivyokwama kuia CHADEMA kabla hata ya uchaguzi.
Libya ni Libyahata misukule ya kule Libya ilikuwa inatamka maneno kama haya haya yako!
Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.
Swali: Mafuriko hayo yako wapi?
Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni, ndio hao ambao tuliambiwa wangesababisha mafuriko?
Na je, kaburi la CHADEMA liko wapi?
Watu wanaoendelea kuhamia CHADEMA kutoka vyama vingine kama kina Felix Mkosamali, wanatoa ujumbe gani kwa wanaodai CHADEMA inakufa?
Hao walionunuliwa wameleta impact gani kwa chadema,ni kuchezea tu hela
Kwa sasa, tusubiri hatima ya kitisho kingine kutoka kwa watu walewale kuwa CHADEMA itaambulia wabunge wachache sana safari hii au isipate mbunge hata mmoja.
Jambo lingine, subirini kuona hamasa ya wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huku nyie mkitegemea wasanii wa muziki wawasaidie kujaza mikutanon yenu.
Ukweli usiosemwa au kutojulikana kwa wengi:kuna mtu alifikiri mpaka tunaingia kwenye kampeni,upinzani utakuwa umeshasambaratika kabisa na kwamba asingepata tabu au ushindani wowote katika harakati zake za kurudi ofisini kwa awamu ya pili jambo ambalo mpaka sasa limefeli hivyo ajiandae kupambana kwani hakuna ushindi wa mezani hata akitangazwa mshindi.
Mungu si Magu!
Unakataa kwamba Magufuli hatashinda ?Kanisa lenu litakuwa la majuha!
Rais Magufuli alisema Uchaguzi umekuwa huru na haki this year
So usiogope
Kwanza yeye ndio sababu hasa ya uchaguzi kunajisiwa maana hawezi ushindani, na sio mkweli, hivyo hakuna anayemuamini.
Huyo sio mtu bali ni roboti.Hivi wewe akili yako huwa timamu au ina wallakini?
Sasa kwanini mnajihangaisha wakati mnajua mbele ya dola hamwezi kupenya?Hilo lipo wazi bila dola nyie ni wepesi sana, Kesho ni njema kuliko jana wananchi wamechoka na porojo zenu.