Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

Maisha yapo kasi sana yaani huoni wabunge waliotoka chadema kwenda ccm kweli wewe nguluia!
 
Watu watafurika kumshuhudia muhanga wa Faru John na si vingine.
Sio kuona pushups za viuno kama anavyo faidi yule wa wilaya ilipo shule ya Minaki?
Acheni mawe mkiishi kwenye nyumba za vioo, tunaelekea kwenye kampeni ukirusha jiwe utajibiwa na matatu!
 
Huo wimbo umechuja, wamejitutumua kununua wapinzani matokeo yake wanaokota wa bei rahisi tu; sasa wanaona vile vichwa adimu vya bei ghali havinunuliki, wameanza kuleta story za kutengeneza sijui Lema anamsema Lissu, wana upuuzi upuuzi mwingi tu.
Wamewachuuza wamama wabunge viti maalumu kujitangaza eti walikuwa wanapigwa ngono hovyo sasa wamewaharibia.
Kila mtu anawakwepa kuwa wanaweza kuwa na maradhi ikiwamo ngoma, gono, kaswende nk hivyo kuambukiza.
Kisha ccm imejiweka pembeni na nafasi hawawapi
 
Sio kuona pushups za viuno kama anavyo faidi yule wa wilaya ilipo shule ya Minaki?
Acheni mawe mkiishi kwenye nyumba za vioo, tunaelekea kwenye kampeni ukirusha jiwe utajibiwa na matatu!
Huyo wa wiliya mbona huwa mnamuonea wivu sana? Kwanini usitumie njia zake ili na wewe ufaidi kuliko kuendelea kumuonea wivu bint mwenzio humu mitandaoni?
 
Safari hii tutahakikisha anaruka kichurachura siyo pushup tena!
 
Mkuu upinzani wa awamu hii umelegea mithiri ya mlenda
Huo upinzani uliolegea kama mlenda ndiyo unawafanya msilale usingizi,mnawateka,mnawapiga risasi,mnawabambikia kesi,kuwapiga/kuwavamia na kuwatungia visheria nje na Katiba?Hapo mnajiona wajanjaaa!Endeleeni kununua chuya mchele umebaki na wajanja.
 
Subiri mlango ufunguliwe ndio tutajua.
Ngoja nikaswaki kwanza
 
Subiri kuona mikutano ya wapinzani itavyofurika watu ndio mjue mtashindwa kwa nguvu ya dola na si kwa kukubalika na hili pia linaweza kukwama vile vile kama mlivyokwama kuia CHADEMA kabla hata ya uchaguzi.
Mafuriko kwenye mikutano sio kigezo cha wingi wa kura, pale watu wanaenda kusikiliza sera
 
 
Mbona unaandika mambo mengi Mkuu
Humuamini Wewe na nani?
Kwanza yeye ndio sababu hasa ya uchaguzi kunajisiwa maana hawezi ushindani, na sio mkweli, hivyo hakuna anayemuamini.
 
Hilo lipo wazi bila dola nyie ni wepesi sana, Kesho ni njema kuliko jana wananchi wamechoka na porojo zenu.
Sasa kwanini mnajihangaisha wakati mnajua mbele ya dola hamwezi kupenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…