Hakuna pesa inayopatika kiulaini changamoto lazima ziwepo, nilitaka kusema kwa habari chanjo kwa kuku ni changamoto unaweza kuwachanja harafu wakafa hii hutokana huifadhi wa chanjo, chanjo inahifadhiwa kwenye ubaridi na tunajua changamoto ya umeme mara nyingi tunauziwa chanjo ambazo zishakufa kuwa mdadisi sana, kuwa makini sana kwenje ununuzi wa chanjo wiki iliyopita rafiki yangu kapata hasara ya kuku 200 akafuatwa muuzaji wa chajo anaomba msamaha na maelezomengi. Ninachota uelewe chanjo zake azikuexpire ila zilikufa kwa uhifadhi mbaya.