mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
Acha unafiki wewe uende mbinguni mkoa gani kuku mkubwa 5000Mkoan wa kienyej mkubwa 5000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafiki wewe uende mbinguni mkoa gani kuku mkubwa 5000Mkoan wa kienyej mkubwa 5000
Kwani jeshi haliwezi kuingilia kati likanunua kuku wetu wote ?Ikishuka zaidi watu wataacha kufuga, wachache wanaobaki watapandisha bei, back to square one! Lakini on a more serious note, ufugaji kwetu hapa una changamoto nyingi, kuu ni vyakula vya mifugo kuwa ghali sana zaidi ya nchi nyingine. Hivyo without protection, wafugaji wetu hawawezi ku-survive! Lakini protection nayo inatakiwa iwe temporary wakati mitigation measures zinafanyika. Mojawapo ikiwa kuwepo na mkakati wa ku-encourage mass production ya feed ingredients ikiwemo Soya na mahindi, CHEAPLY. CHEAPLY. HOW DO WE PRODUCE FEED CHEAPLY IN TANZANIA? Tafakari!
Huyo anaelia kila siku kwenye avatar yako ni Nani huyo?Pole sana mkuu, ndio changamoto za maisha hizo!
Umenipa Idea, thanks....
Lakin huko si mpaka uwe na godfather?? Au niende blindly..
Peleka uholanziKweli bei imeshuka sana, wanunuzi sasa hivi wanataka kununua kuku mwenye uzito zaidi ya kilo moja, hiyo kuhusu kuku wa uholanzi sikuwahi isikia, so it means kama hao wa uholanzi wataendelea kuleta soko litakuwa hivi hivi?? Basi ufugaji utakuwa mgumu sana.
Mimi nina kuku 800 nategemea kuwauza next week hapa tumbo joto!!!
Na bei ya magari nayo imeshuka?In short sio kuku tu. We fatilia hata mazao ya wakulima wa tz kma matikiti, maembe, machungwa, vitunguu. Hivi vyote vimeporomoka bei.
Sababu ni kuwa watu hawana pesa. Sasa mfanyakaz mwaka wa 3 hajaongezewa mshahara mnatgmea nn?
Magar used. Agiza japan ujiinee maushuru na dola ilvyopndaNa bei ya magari nayo imeshuka?
mkuu ushatandika mkeka lkn ..maana kule kwetu sikuoni sikuiziPole sana mkuu, ndio changamoto za maisha hizo!
Hakuna pesa inayopatika kiulaini changamoto lazima ziwepo, nilitaka kusema kwa habari chanjo kwa kuku ni changamoto unaweza kuwachanja harafu wakafa hii hutokana huifadhi wa chanjo, chanjo inahifadhiwa kwenye ubaridi na tunajua changamoto ya umeme mara nyingi tunauziwa chanjo ambazo zishakufa kuwa mdadisi sana, kuwa makini sana kwenje ununuzi wa chanjo wiki iliyopita rafiki yangu kapata hasara ya kuku 200 akafuatwa muuzaji wa chajo anaomba msamaha na maelezomengi. Ninachota uelewe chanjo zake azikuexpire ila zilikufa kwa uhifadhi mbaya.