Dah....wangefanya kama coro show[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nayo kaz,sasa kila mtu anafuga,itabidi serikal iangalie kwa undani chakufanya hapa kwan nao wanalipa kodi
Samahani maelezo hayakuwa katika maada husikaHakuna pesa inayopatika kiulaini changamoto lazima ziwepo, nilitaka kusema kwa habari chanjo kwa kuku ni changamoto unaweza kuwachanja harafu wakafa hii hutokana huifadhi wa chanjo, chanjo inahifadhiwa kwenye ubaridi na tunajua changamoto ya umeme mara nyingi tunauziwa chanjo ambazo zishakufa kuwa mdadisi sana, kuwa makini sana kwenje ununuzi wa chanjo wiki iliyopita rafiki yangu kapata hasara ya kuku 200 akafuatwa muuzaji wa chajo anaomba msamaha na maelezomengi. Ninachota uelewe chanjo zake azikuexpire ila zilikufa kwa uhifadhi mbaya.
Mmh, mkoa gan huo?Mkoan wa kienyej mkubwa 5000
usijali haitadumu ssna wanaliwa sanaKweli bei imeshuka sana, wanunuzi sasa hivi wanataka kununua kuku mwenye uzito zaidi ya kilo moja, hiyo kuhusu kuku wa uholanzi sikuwahi isikia, so it means kama hao wa uholanzi wataendelea kuleta soko litakuwa hivi hivi?? Basi ufugaji utakuwa mgumu sana.
Mimi nina kuku 800 nategemea kuwauza next week hapa tumbo joto!!!
Umenipa Idea, thanks....tafuta shule za boarding english median kawauze kule
Natamani iwe kweli, lakini mkuu kama miezi miwili nyuma ilikuwa ni kazi sana kupata vifaranga, ila kwa sasa wanapatikana kirahisi sana, sababu inaweza ikawa ninini?? Au hao wazazi wamekuja kwa wingi as a result productions imeongezeka???habari za leo mkuu. taarifa ulizotoa kuhusu kuingizwa kwa kuku waliochinjwa nchini sio za kuaminika. na pia kuingizwa kwa vifaranga imezuiwa na hairuhusiwi labda iwe ni magendo yamefanyika. kinachoruhusiwa kuingizwa ni mayai ya kuku wazazi kwa kibali maalumu. (parent stock eggs) tegemea soko kuwa zuri kuanzia mwisho wa mwezi huu.
we nenda tu utajuaga huko huko jitose ila jiandae kukopwa kama ni shule za umaa Na uwaambie unaweza kusupply kwa muda mrefu itabidi uunganishe wafugaji muwe wengi kupata supply ya kutosha , na mkiweza anzisheni umoja wa wafugaji wa kuku wa nyama NA MAYAI (UWAKUNYAMA)Umenipa Idea, thanks....
Lakin huko si mpaka uwe na godfather?? Au niende blindly..
hivi hata hapa tunaagiza kuku toka nje Jamani wakulima.na wafugaji wamewakosea nn hii setikali....Katika hili la kuingiza kuku kutoka ulaya Serikali inatakiwa kuliangalia kwa umakini, nchi za Africa Magharibi tayari wameanza kuona athari zake kwa sababu wao ni soko kubwa la hao frozen chicken kutoka ulaya hali iliyopelekea kuua soko la wafugaji wa ndani na pia ubora wa hao kuku sio wa uhakika.