Mafuriko yafanya uharibifu mkubwa Afrika Kusini

Mafuriko yafanya uharibifu mkubwa Afrika Kusini

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao.

Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja tangu mafurikio yasababishe vifo vya watu zaidi ya 400 Nchini humo

“Kuna baadhi ya maeneo yamegeuka kuwa kama kisiwa, hatujapata ripoti kamili ya uharibifu,” amesema Waziri wa KwaZulu-Natal, Sihle Zikalala.

Source: BBC

4b4e8cde-23b7-4785-b27b-d1c2d700b64f.jpg

529f0443-0d62-4de1-8f64-7ba2b73f3e8e.jpg

dbe00532-820c-4da8-9868-9f2847fe49fb.jpg
 
Huyu mtumishi wa Mungu alishakneshwa siku 11 zilizopita.
 
Back
Top Bottom