Hahahahahaa.Halafu eti nae ni mtoto wa mjini jamani ajabu kapigwa kanunua kiwanja kwenye mkondo wa maji!
Ni kweli, nakubaliana na huo ushauri uliompa hapo juu.
Niliiona Sebule ya king wenu jamani inatishaaaa aiseee inabidi abadili fanicha king mzima anazidiwa sebule na shishii,anatuaibishaa
Bima haitolewi kwa watu waliofanya makusudi, hata hivyo inatakiwa ashitakiwe yeye na watu wa ardhi kwa kupima kiwanja kwenye bonde na mataro wa maji.
Na hao wapima ardhi wanapima na kuuza kiwanja hadi kwenye mkondo wa maji. Hata kama lakini kwa macho unaona kabisa hapa hapafai kujenga mtu ana force tu.
Haya we cheka najua mpaka sasa bado unaishi kwa wazaziKwi kwi kwi! Billionaire anajenga kwenye mkondo wa maji? Kwanini asinunue kiwanja sehemu nzuri yenye usalama? Au alipigwa nini?...lol
Hata kama lakini hana stress za MAFURIKO! Yuko zake kunduchi anakula upepo wa bahari kwa raha zake King Kiba wetu.
niliiona sebule ya king wenu jamani inatishaaaa aiseee inabidi abadili fanicha king mzima anazidiwa sebule na shishii,anatuaibishaa
Niliiona Sebule ya king wenu jamani inatishaaaa aiseee inabidi abadili fanicha king mzima anazidiwa sebule na shishii,anatuaibishaa
Na hao wapima ardhi wanapima na kuuza kiwanja hadi kwenye mkondo wa maji. Hata kama lakini kwa macho unaona kabisa hapa hapafai kujenga mtu ana force tu.
Feedhaaaa zinakimbiza maji uoni pale msasani bonde la mpunga My fair watu walidhani maji yanakimbizwa wakalowa, chezea maji weye
Lakini huyu bwana Chibu si nasikia ana mimyumba kibao sizani km atakua na stress kiviile.
Halafu bwana Chibu sizani km atashuka kwa style hii maana hakauki midomoni mwa watu hata taa yake ya nje ikiungua watu watakuja kuanzisha uzi, aisee endeleeni kitupa update si wa mikoani.
Sio kila kitu kuzungumziwa kuna lenga kushusha kitu huo ndo ustar wenyewe mbona wakisifiwa huwa hamlalamiki. Too much negativity aliwazalo mjinga ndo linalomtokea.
Sasa hapo umenipinga au umekubaliana na mm?
Maana me nimesema kwa sasa kushuka sio rahisi maana kila siku haishi midomoni mwa watu! Hapo negativity iko wapi?
Halafu kumbe na nyie wazee wa kei kumbe mnatambua kua huo ndo ustaa sasa acheni kuchonga ngenga kijana akiwa anafanya show off!

Shosti siku nyingine screenshoti watu tujionee tuongeze siku za kuishi
Hizi mvua zinamwonea sana bajameni, kumbe zilishamfuata hapo mwanzoni zikafanya fujo.