Mafuriko yaizengea nyumba mpya ya Diamond Tegeta

Hahahahahaa.Halafu eti nae ni mtoto wa mjini jamani ajabu kapigwa kanunua kiwanja kwenye mkondo wa maji!
Ni kweli, nakubaliana na huo ushauri uliompa hapo juu.

Niliiona Sebule ya king wenu jamani inatishaaaa aiseee inabidi abadili fanicha king mzima anazidiwa sebule na shishii,anatuaibishaa
 
Hata kama lakini hana stress za MAFURIKO! Yuko zake kunduchi anakula upepo wa bahari kwa raha zake King Kiba wetu.
 
Bima haitolewi kwa watu waliofanya makusudi, hata hivyo inatakiwa ashitakiwe yeye na watu wa ardhi kwa kupima kiwanja kwenye bonde na mataro wa maji.

Na hao wapima ardhi wanapima na kuuza kiwanja hadi kwenye mkondo wa maji. Hata kama lakini kwa macho unaona kabisa hapa hapafai kujenga mtu ana force tu.
 
Shoga hata mimi sina utaalamu lakini huniuzii kiwanja sehemu ambayo siyo.
Kwanza nitaanza kufanya utafiti wa hilo eneo hata kwa kuwauliza majirani au wenyeji wa maeneo hayo.
Sio kila kitu kinahitaji elimu ya darasani.
 
Kwi kwi kwi! Billionaire anajenga kwenye mkondo wa maji? Kwanini asinunue kiwanja sehemu nzuri yenye usalama? Au alipigwa nini?...lol
Haya we cheka najua mpaka sasa bado unaishi kwa wazazi
 
Lakini huyu bwana Chibu si nasikia ana mimyumba kibao sizani km atakua na stress kiviile.

Halafu bwana Chibu sizani km atashuka kwa style hii maana hakauki midomoni mwa watu hata taa yake ya nje ikiungua watu watakuja kuanzisha uzi, aisee endeleeni kitupa update si wa mikoani.
 
Na hao wapima ardhi wanapima na kuuza kiwanja hadi kwenye mkondo wa maji. Hata kama lakini kwa macho unaona kabisa hapa hapafai kujenga mtu ana force tu.

Feedhaaaa zinakimbiza maji uoni pale msasani bonde la mpunga My fair watu walidhani maji yanakimbizwa wakalowa, chezea maji weye
 
Hizi mvua zinamwonea sana bajameni, kumbe zilishamfuata hapo mwanzoni zikafanya fujo.
NYUMBA.jpg
 
Ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!hahaaaaaaaaa!!

Hivi mafuriko yakikukuta ni lazima uwe umejenga kwenye mkondo wa maji??vipi kuhusu mitaro kuziba uchafu tunaotupa usiku??na wale wanaojenga kuziba njia za maji je??

Wenye wivu na ambao hawana uwezo wa kujenga utawajua tu!kila siku kuwaombea wenzao mabaya na kutaka wafilisike!bahati mbaya watu hawafilisiki?we unabaki kupiga majungu tu watu wanachange magari na viwanja!
 
Feedhaaaa zinakimbiza maji uoni pale msasani bonde la mpunga My fair watu walidhani maji yanakimbizwa wakalowa, chezea maji weye

Hahahahahaa hapana chezea mafuriko yatakuadhiri tu.
 
Lakini huyu bwana Chibu si nasikia ana mimyumba kibao sizani km atakua na stress kiviile.

Halafu bwana Chibu sizani km atashuka kwa style hii maana hakauki midomoni mwa watu hata taa yake ya nje ikiungua watu watakuja kuanzisha uzi, aisee endeleeni kitupa update si wa mikoani.

Sio kila kitu kuzungumziwa kuna lenga kushusha kitu huo ndo ustar wenyewe mbona wakisifiwa huwa hamlalamiki. Too much negativity aliwazalo mjinga ndo linalomtokea.
 
Bora hata huyo ambaye nyumba yake tumeiona imezingirwa na maji!kuliko wengine ambao wanatuonyesha majengo ya kale
 
Sio kila kitu kuzungumziwa kuna lenga kushusha kitu huo ndo ustar wenyewe mbona wakisifiwa huwa hamlalamiki. Too much negativity aliwazalo mjinga ndo linalomtokea.

Sasa hapo umenipinga au umekubaliana na mm?

Maana me nimesema kwa sasa kushuka sio rahisi maana kila siku haishi midomoni mwa watu! Hapo negativity iko wapi?

Halafu kumbe na nyie wazee wa kei kumbe mnatambua kua huo ndo ustaa sasa acheni kuchonga ngenga kijana akiwa anafanya show off!
 
Teh teh too much negativity in mind ni hatareeeee sana tu. Hafu kei ndo nini ati! Mtu anakuaga alivo kulingana na ufikiri wake ulivyo tu.
 
Sasa hapo umenipinga au umekubaliana na mm?

Maana me nimesema kwa sasa kushuka sio rahisi maana kila siku haishi midomoni mwa watu! Hapo negativity iko wapi?

Halafu kumbe na nyie wazee wa kei kumbe mnatambua kua huo ndo ustaa sasa acheni kuchonga ngenga kijana akiwa anafanya show off!

Mi hayo ya kushuka na kupanda hayanihusu kabisa we ndo unayajua.Mtu anakua alivo kulingana na fikiria yake kufanya hasi badala ya kuwa na positive thinking.
 
Back
Top Bottom