babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kashajenga nyumba atashindwa kuzuia maji.ni swala la muda tu atapashughulikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh TehMi huwa najiuliza hivi ile ally kiba aliyoonyesha ni nyumba au sehemu iliyotumiwa kunyongea wafungwa enzi za kale... Maana ipo kama gofu
Kashajenga nyumba atashindwa kuzuia maji.ni swala la muda tu atapashughulikia
Mi huwa najiuliza hivi ile ally kiba aliyoonyesha ni nyumba au sehemu iliyotumiwa kunyongea wafungwa enzi za kale... Maana ipo kama gofu
Hahaaa iko kma getto la mateja kma sobibor
Ahahahaaaaaaaaaaaaaa!halafu yao kimyaaaa!!yawenzao midomo juu!!!wanashindwa kumsaidia jamaa yao kulipa mikopo.
Hiyo nyumba y king n hatari au kapanga nini
amepanga tu!kujenga masihara!
Duuh kukata viuno mda wote kapanga kweli iko shida