Mafuriko yaizengea nyumba mpya ya Diamond Tegeta

Mafuriko yaizengea nyumba mpya ya Diamond Tegeta

Kashajenga nyumba atashindwa kuzuia maji.ni swala la muda tu atapashughulikia
 
Mi huwa najiuliza hivi ile ally kiba aliyoonyesha ni nyumba au sehemu iliyotumiwa kunyongea wafungwa enzi za kale... Maana ipo kama gofu
Teh Teh
Mkuu umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom