Mafuta gani mazuri kwa ajili ya ngozi ya uso tu?

Ukiachana na Queen Elizabeth yapi tena mazuri kwa ngozi au mwilin jaman nmepata fake yananuka vibaya
Nivea cocoa butter lotion

Au Ever sheen cocoa butter lotion.

Hayatakuangusha mdada
 
Mumy hiyo almond sijui napaka hata uso wangu wa mafuta au hayo ni ua mwili utanipa kitu tofauti cha uso

IRON LADY!!!!
 
Hello mimi naweza kukushauri kuhusiana na mafuta sahihi kwa ngozi yako lakini tu kama ukiniambia kama ngozi ya uso wako ni kavu au ina mafuta... Karibu sana

Tuwasiliane 0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…