NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
RINJU BROWN AU COCOA BUTTERJamani warembo niambieni mafuta mazuri yatayonipa choclet colour uso wangu mafuta ka beberu nimepakaa queen Elizabeth imedunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RINJU BROWN AU COCOA BUTTERJamani warembo niambieni mafuta mazuri yatayonipa choclet colour uso wangu mafuta ka beberu nimepakaa queen Elizabeth imedunda
kama wamepigiwa simu vile!achana nao wambea kama nini? nani kawaita hapa?
aisee niwape umbea chukua vaseline ya kutosha kila siku usiku paka matiti plus olive oil halafu mlete mrejesho hapa
mweupe na Ngozi ya mafuta na na mwingine mweusi rangi ya mafutaYeye mwenyewe keshaomba radhi, hakujua kuwa kuna utofauti,
Si kila mtu nampa haya, so niambie aina ya ngozi yako,rangi na unataka uweje
wenye ngoz za mafuta usoni,watumie mafuta ganiOlive oil inatosha mwilini ila usoni kwa dry skin. Olive oil ~ ngozi inakuwa laini mpka watu wanakushangaa unapaka nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Vaseline lotion or mafuta??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shoga ntaanza kesho alafu nikupe mrejesho
Una miliki wawili? 😀N
mweupe na Ngozi ya mafuta na na mwingine mweusi rangi ya mafuta
sh.ngapi olive oilOlive oil inatosha mwilini ila usoni kwa dry skin. Olive oil ~ ngozi inakuwa laini mpka watu wanakushangaa unapaka nn
Sent using Jamii Forums mobile app