Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).

Naomba ushauri nitumie mafuta gani?

Ngozi nzuri ni zaidi ya mafuta..angalia pia sabuni unayotumia then kunywa maji mengi na usisahau kuliwa papuchi angalau mara 3 kwa wiki
 
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).

Naomba ushauri nitumie mafuta gani?

Ya Nazi tu ndiyo kiboko ya mafuta yote duniani. Ukihitaji nitumie ujumbe inbox
 
[FONT=book
antiqua]Ngozi nzuri ni zaidi ya mafuta..angalia pia sabuni unayotumia
then kunywa maji mengi na usisahau kuliwa papuchi angalau mara 3 kwa
wiki [/FONT]

ahsante...ila umenichekesha sana hapo kwenye kuliwa papuchi...
 
Ya Nazi tu ndiyo kiboko ya mafuta yote duniani. Ukihitaji nitumie ujumbe inbox

Ni kweli kabisa

1. Mtoa mada kama hutojali pia machicha ya nazi ni mazuri sana kwa ngozi,ngozi yako itang'aa na kua yenye afya zaidi...ukishakamua tui hifadh machicha yako( yasiwe makavu sana yatakuumiza)
Wakati unaenda oga jisugue nayo taratiibu mwili wote hata usoni..kwa ndani ya mapaja..kisha oga vizuri
Paka lotion yako uliyoizoea

2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha hutoiweza

Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama ni mvumilivu

Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu
 
2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha hutoiweza

Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama ni mvumilivu

Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu

Mkuu, mafuta ya Nazi hayana harufu kabisa badala yake yana perfume ya asili ndani yake
 
Ni kweli kabisa

1. Mtoa mada kama hutojali pia machicha ya nazi ni mazuri sana kwa
ngozi,ngozi yako itang'aa na kua yenye afya zaidi...ukishakamua tui
hifadh machicha yako( yasiwe makavu sana yatakuumiza)
Wakati unaenda oga jisugue nayo taratiibu mwili wote hata usoni..kwa
ndani ya mapaja..kisha oga vizuri
Paka lotion yako uliyoizoea

2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha
hutoiweza

Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama
ni mvumilivu

Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu

Ahsante kwa ushauri mzuri...
 
wewe ni mtu kweli au computer inauliza haya maswali, mbona huchoki maswali ??? halafu kama ni mtu punguza uvivu sio kila kitu unauliza kupitiliza , ukiambiwa mafuta ya nazi unauliza yanapatikana wapi? ukiambiwa glycerine ....wapi ?? khaa
 
Ni kweli kabisa

1. Mtoa mada kama hutojali pia machicha ya nazi ni mazuri sana kwa ngozi,ngozi yako itang'aa na kua yenye afya zaidi...ukishakamua tui hifadh machicha yako( yasiwe makavu sana yatakuumiza)
Wakati unaenda oga jisugue nayo taratiibu mwili wote hata usoni..kwa ndani ya mapaja..kisha oga vizuri
Paka lotion yako uliyoizoea

2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha hutoiweza

Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama ni mvumilivu

Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu

hii nimeipenda shosty,loh ila nikiwaza kaprocess hako haki wangefanya spa hivi ningejichanga niwe naenda for such a nice treat....
Kufanya full body scrub hizi za kununua madukani nayo si inaweza kuleta matokeo mazuri pia?
 
jaribu nivea normal skin.lakn pia angalia sabuni unayotumia,pia fanya scrub yaparachichi..
 
Haina shida,wewe tu mpnz....ila kiyoyozi kwa wingi

Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,LOL

Kila la kheri mamii

hii nimeipenda shosty,loh ila nikiwaza kaprocess hako haki wangefanya spa hivi ningejichanga niwe naenda for such a nice treat....
Kufanya full body scrub hizi za kununua madukani nayo si inaweza kuleta matokeo mazuri pia?
 
Km we muislamu mafuta ya nguruwe ndo sahihi kwako....
 
Back
Top Bottom