Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).
Naomba ushauri nitumie mafuta gani?
njoo upige nyoka japo nusu lita itakusukuma adi big bon petro stationNipe yako nijipake.
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).
Naomba ushauri nitumie mafuta gani?
Ya Nazi tu ndiyo kiboko ya mafuta yote duniani. Ukihitaji nitumie ujumbe inbox
2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha hutoiweza
Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama ni mvumilivu
Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu
Mkuu, mafuta ya Nazi hayana harufu kabisa badala yake yana perfume ya asili ndani yake
Ni kweli kabisa
1. Mtoa mada kama hutojali pia machicha ya nazi ni mazuri sana kwa
ngozi,ngozi yako itang'aa na kua yenye afya zaidi...ukishakamua tui
hifadh machicha yako( yasiwe makavu sana yatakuumiza)
Wakati unaenda oga jisugue nayo taratiibu mwili wote hata usoni..kwa
ndani ya mapaja..kisha oga vizuri
Paka lotion yako uliyoizoea
2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha
hutoiweza
Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama
ni mvumilivu
Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu
ahsante...ntayapata wapi na kwa bei gani?
Ni kweli kabisa
1. Mtoa mada kama hutojali pia machicha ya nazi ni mazuri sana kwa ngozi,ngozi yako itang'aa na kua yenye afya zaidi...ukishakamua tui hifadh machicha yako( yasiwe makavu sana yatakuumiza)
Wakati unaenda oga jisugue nayo taratiibu mwili wote hata usoni..kwa ndani ya mapaja..kisha oga vizuri
Paka lotion yako uliyoizoea
2. Paka mafuta yake japo yataka moyo ( ile harufu) kama njia ya machicha hutoiweza
Ina process ndefu ( unaweza maliza 1/2 saa bafun) lakini ni nzuri kama ni mvumilivu
Ngoz yako itakua lainii na ng'aavu
hii nimeipenda shosty,loh ila nikiwaza kaprocess hako haki wangefanya spa hivi ningejichanga niwe naenda for such a nice treat....
Kufanya full body scrub hizi za kununua madukani nayo si inaweza kuleta matokeo mazuri pia?