Mafuta mengi sana yagunduliwa Lamu

Hahaha. Wacha tutona kama Somalia atapata ubavu wa kusema lolote ama atanyamaza kwa kuogopa kichapo kutoka kwa ndugu wao mkubwa.




The oil resources that can be recovered from the Block L11B are estimated at about 700 million barrels according to early conservative estimates, more than a fifth of Turkana’s commercially extractable volume of 585 million barrels.

5 bln barrels za oil zinatoka wapi?
 
Wacha kufurahia bado hujui hii biashara ya mafuta inakaaje. Hizo 4.8bn barrels ni potential oil deposit tuu out of that recoverable oil could be in the range of 2-2.5bn. That will still help your lame econony to take a right step forward kama mkiondoa corruption na mismanagement kwenye hiyo sector.
 







5 bln barrels za oil zinatoka wapi?
By the way tazama map yako. L11B ambapo 700 million barrels zimepatikana ipo ndani ya mipaka ya Kenya na ipo mbali sana na Somalia. Hahaha huna bahati. Halafu kujibu swali lako la 5 bn barrels. Ujue Geza kwamba kitu kilichopatikana kwa block L11B ni an oil system ambayo inasambaa kwa blocks nyingi, sio tu L11B pekee. It is an entire system na Eni ipo mbioni kujaribu kudiscover boundaries ya hii oil resource. Ujue bado the actual figure haijulikani kwa maana tests bado zinaendelea. The entire system inaweza kuwa 4 billion barrels ila kwa sasa kwenye block L11B inakisiwa ni kiasi cha 700 million barrels. Anyway, wewe ndio expert kwenye mambo haya sio mimi. Mimi naongea tu lakini pengine naongea matope.

Seismic surveys revealed that the area has the potential for oil resources estimated at four billion to 4.8 billion barrels. Oil and gas explorers use seismic surveys to produce detailed images of the various rock types and the location beneath the earth’s surface and to determine the location and size of potential oil and gas reservoirs.
 
Somalia na Al Shaaba watasema mafuta ni ya kwao
 







5 bln barrels za oil zinatoka wapi?
Geza Ulole baada ya kufanya research kidogo nimegundua kuwa serikali ya Kenya ni wajanja sana, oil blocks zote tatu ambazo wamepea Eni+Total+Qatar consortium zipo ndani ya Kenya. Serikali ya Kenya haikupatia Eni oil block yoyote ambayo inazozaniwa na Somalia. Oil blocks tatu ambazo hii consortium ilipewa ni L11A, L11B na L12. Unaona L11A ipo juu ya L11B. Kisha L12 ipo juu ya L11A. Na oil blocks zote tatu zipo ndani ya boundary ya Kenya kisheria. Serikali ya Kenya ilifanya vizuri kupeana oil blocks ambazo hazizozaniwi kwa maana Kenya ingekuwa na mgogoro mkubwa sana na Somalia sasa hivi ikiwa kama serikali ya Kenya ingekuwa imepeana concession kwa oil block inayozozaniwa kisha mafuta yapatikane mle ndani. Soma hii hapa.

 
Machafuko huwa yanatokea katika nchi masikini masikini kama South Sudan au Tanzania wanapogundua mafuta au rasilimali yoyote. Kenya ni nchi tajiri ukanda huu, tuna strong institutions kwa hivyo sahau kabisa mambo ya machafuko kutokea Kenya.
vipi libya Na iraq...ni nchi maskini?
 

Kha! Niache kufurahia, hata kama laki moj hatukua nazo, tatizo lenu mfumo wa ujamaa huwa unasababisha mnakua na ubeuzi mwingi sana, hamna chochote kizuri kwenu.
 
vipi libya Na iraq...ni nchi maskini?

Hao walijifanya kutunisha misuli dhidi ya baba lao Marekani akawalisha vitasa, sisi hatuna ugomvi naye tunajitafutia riziki.
Hata nyie umaskini wenu huo umetokea baada ya Nyerere kujifanya baba la maugomvi Afrika na pia kuzinguana na hao, watakuchelewesha sana, waache fanya yako.
 
waache wakule sio?? ndiyo hiyo mikataba ya miaka 100
 
Reactions: Oii
Wao wanasumbuliwa na USA. Wangekuwa mbali kama USA haingekuwa inawanyanyasa. Hizo ni nchi zilizokuwa zimeendelea kiuchumi, sema tu USA iliamua kuwavuruga.
kwanini USA imeamua kuwavuruga?? I'll give you not one, not two, but 3 letters........ O.I.L
 
Raha yani😍😍🔥🔥Mungu katupenda tena! at our lowest moment,Uganda alitunyanyasa katubeba ujinga na pipeline yao😬 sasa ata hatutawabembeleza watajileta tu wenyewe😂Pipeline yao lazima iunganishwe na yetu mpaka lamu,ndio mafuta yakisafirishwa Europe yaende kimoja!
Mambo yajayo yanafurahisha😁Mungu ni asante sana,naomba madini yaendelee kupatikana Kenya kila mahali😇

Nice post by the way⚡
kuna watu ambao wanahisi kujinyonga wanatakaga tufilisike,kazi yao ni kupanga kutunyanganya baraka zetu!!😈walambe Mloloz,kaeni na pipeline yenu💩
 
nimeona pia ila habari inasema confirmed reserves ni 700 mln barrels, hizo 4 bln barrels of crude oil mmezitoa wapi?
 
Kha! Niache kufurahia, hata kama laki moj hatukua nazo, tatizo lenu mfumo wa ujamaa huwa unasababisha mnakua na ubeuzi mwingi sana, hamna chochote kizuri kwenu.
Simamieni vizuri msije kupigwa kama nchi za west africa ikibidi chukueni PSA zetu mzi adapt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…