Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Mzuka wana jamvi ?
Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed .
Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ?
Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie kilio gani na Dunia tuneshindwa kuja na plani B ? Afrika vita kibao lakini mambo safi Dunia haitilisiki lakini ikitokea kwa Waarabu hali Tete .
Je una maoni gani ?
adriz de mbusii