Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Mashabiki ya kati umekula nini?
Teknolojia ya umeme ni mchakato mkubwa na wa mageuzi makubwa duniani ya mamia ya miaka, ebu fikiria infrastructure zinazotumia mafuta zibadilishwe dunia nzima ili kukithi matumizi ya umeme🤔Wataruhusu tecnolojia ya umeme itamalaki.
Kwa sasa hii tecnolojia inapigwa vita ili kulinda biashara ya mafuta
Inasikitisha sana , hayo majina lakini hayafanani kabisaKwa hiyo Bunge limepitisha rasmi kuwa na hizi pair; Chizi Maarifa na Chizi Maarifer! Ushimen na Ushiled, nk.
Bange mbaya sanaMashabiki ya kati umekula nini?
Bange kuna nyembamba halafu kuna nene kwa hio inategemea wewe umevuta ipi kipisi au phantom 👻Bange mbaya sana
Gentleman,Mzuka wana jamvi ?
Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed .
Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ?
Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie kilio gani na Dunia tuneshindwa kuja na plani B ? Afrika vita kibao lakini mambo safi Dunia haitilisiki lakini ikitokea kwa Waarabu hali Tete .
View attachment 3588487
Je una maoni gani ?
adriz de mbusii
ConspiracyWataruhusu tecnolojia ya umeme itamalaki.
Kwa sasa hii tecnolojia inapigwa vita ili kulinda biashara ya mafuta
Oya vipi kwenu udindivu?Mzuka wana jamvi ?
Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed .
Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ?
Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie kilio gani na Dunia tuneshindwa kuja na plani B ? Afrika vita kibao lakini mambo safi Dunia haitilisiki lakini ikitokea kwa Waarabu hali Tete .
View attachment 3588487
Je una maoni gani ?
adriz de mbusii
Kwa hiyo Bunge limepitisha rasmi kuwa na hizi pair; Chizi Maarifa na Chizi Maarifer! Ushimen na Ushiled, nk.
Gari za umeme zitapata diliMzuka wana jamvi ?
Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed .
Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ?
Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie kilio gani na Dunia tuneshindwa kuja na plani B ? Afrika vita kibao lakini mambo safi Dunia haitilisiki lakini ikitokea kwa Waarabu hali Tete .
View attachment 3588487
Je una maoni gani ?
adriz de mbusii
Sijaiga jina lako Sheria za Jf haziruhusu na wasingeruhusu hilo , huu ni Ugeniaz na ubunifu wangu mkubwaAiseeee.... Kuna watu wana ulevi hadi wameona waige jina langu? Ni kukosa ubunifu au kujikuta ni wafuasi wangu mpaka wanataka kufanana nami.