Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

Sio dawa sahihi utaozesha kidole, huyo mdudu kwenye kidole ni aina ya fangasi kwenye mishipa ya damu haina tofauti sana na jipu. Anauma Sana kabla hajaiva ila akishaiva anapoa ndio unakamua usaha, tumia pain killer anapouma mpaka aive
 
Toboa kidogo kwenye hicho kidole then mwagia kidogo maji ya betri, inawasha sana ila kwa muda mfupi tu. Baada ya masaa utaanza kuona panakauka kabisa na mdudu hatakuwepo tena kidoleni
Ulishawai kupatwa na tatizo na ukatumia hii njia ukafanikiwa au ulisikia tu kwa mtu?Kama ulishawai npe ushuuda ulivyofanya ukamaliza tatizo ili
 
Sio dawa sahihi utaozesha kidole, huyo mdudu kwenye kidole ni aina ya fangasi kwenye mishipa ya damu haina tofauti sana na jipu. Anauma Sana kabla hajaiva ila akishaiva anapoa ndio unakamua usaha, tumia pain killer anapouma mpaka aive
Ushashuudia mtu anaoza kidole baada ya kutumia maji ya betri mkuu??
 
Ulishawai kupatwa na tatizo na ukatumia hii njia ukafanikiwa au ulisikia tu kwa mtu?Kama ulishawai npe ushuuda ulivyofanya ukamaliza tatizo ili
Sijasikia kwa mtu mkuu, mwaka 2014 nilipatwa na hiyo ndude, nikafanya kama nilivokwambia.
Ufanisi ulikua 100%
 
Ulitoboa kidogo pale palipovimba ukanyunyizia au uliweka maji ya betri kwenye kizibo na ukachova kidole??
 
Back
Top Bottom