Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

kwanza tujue kati ya mfuta na Viazi vipi vina-impact kwenye bei.

maana ni sawa na spare za gari kupanda bei useme nauli nazo zipande bei ilihali diesel|petrol ziko pale pale
 
tatizo ni nin, Mikoa inayolima alizeti, michikichi na ufuta tunayo sana tz, tunafeli kwa wawekezaji au na ilo pia imesabàbishwa na urusi
 
Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA

View attachment 2157290
Sasa hivi wana mbadala, wanatumia ya mbuzi katoliki ni cheap.
 
Asee,nilishasahau Kama kitu kinaitwa chipsi...ila nafikiri Hawa wauza chips Wana angle nyingi za kupata faida kwenye hii biashara...
 
Duhhh....[emoji3525]
Naona tunazidi kupoteza nguvu ya taifa....[emoji38]
Lakini vitoto ndiyo vinazidi kuongezeka kila Kona hadi vingine havina hata wa kuwalea! Bora nguvu zipunguzwe tu watu wasizaliane sana!!
 
tatizo ni nin, Mikoa inayolima alizeti, michikichi na ufuta tunayo sana tz, tunafeli kwa wawekezaji au na ilo pia imesabàbishwa na urusi
Wenye Viwanda vyao Wana bana production kidogo ili kutengeneza demand ili bei ipande yenyewe kutokana na soko!!
 
Nyie mnasema hivyo naombeni Pia mjaribu kuuliza pia bei ya Karatasi rim paper mtazirai kama sio kufa kama karatasi nazo zimekua anasa Carton kwa dar sasa hivi ni 70k huku mwanza 60 mpka 65k
 
Nyie mnasema hivyo naombeni Pia mjaribu kuuliza pia bei ya Karatasi rim paper mtazirai kama sio kufa kama karatasi nazo zimekua anasa Carton kwa dar sasa hivi ni 70k huku mwanza 60 mpka 65k
Maisha yamekua ya ghali ghafla then serikali iko kimya sijui kwa nini!!!!yaani mmechoka kuambiwa rim bunda moja15 etii

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom