Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Muache dada atafte mkate wake wa kila siku,haya we ulitaka mafuta ayabebee wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasomaga kujibu na kupinga tu eti..... Si amekwambia hapo mpaka kituo Cha mafuta alichonunua!!??..... Na vituo vya mafuta vyote vina camera ...haya mpeleke wewe mahakamani.....Hana ushahidi kuwa hayo madumu ni ya mafuta akiburuzwa mahakamani huyo
Mambo mengine ni matatizo ya kujitakia ohh niliona wapi ushahidi kuwa ni mafuta anao? Kama kabeba dumu tupu je? Kinachomthibitishia kuwa hayakuwa madumu matupu,au yalikuwa yana mafuta ya kupikia au ya maji
Aache umbeya a mind his own business ya watu mabarabarani aachane nayo
Huyo ana kituo Cha mafuta ni wezi sana.wanaogopa sababu wanajua wakiweka umo utaona hayajafika kwenye kipimo vzr.Bro ukiishiwa mafuta mbali na kituo cha mafuta utalikokota gari Hadi kituo cha mafuta au utachukua kidum na kudandia boda kufuata mafuta chap?
Hasara za kuuza mafuta kwenye dum si nying Kama faida zake.
Au wew ndio wamilik wa vituo vya mafuta mnaochezea vipimo Una hofu ya kuumbuka?
Ni suala linalohitaji muda siyo kukurupuka tu.Ewura hii tabia ya wamiliki wa vituo vay mafuta kuuza nishati hii kwenye madumu mtaikomesha lini huyu Dada amefanya manunuzi ya nishati hii katika kituo cha mafuta cha Puma Jijini Dodoma Bahiroad hatari zaidi amebeba mtoto mgongoni na mbaya zaidi amesafirisha mafuta haya kwa pikipipi, na mwendesha pikipiki huyu ajavaa kofia ngumu jeshi la polisi wapo busy na madada poa na Kuzuaia maandamano lakini mambo kama haya awayaoni wala hawana muda wa kuzuia
Nilimuhoji Dada huyu mafuta anapeleka wapi akajibu anaenda kijijini maana bodaboda alimshusha katika kituo cha kupakia abaria cha Iringa road maghorofani ambapo baadae alifanya hatari nyingine kwa kupakia madumu aya kwenye gari la Abiria linalofanya safari za Iringa Dodoma la nani kaona, hii Nchi viongozi wanaongoza kwa matukio kwa Ewura mnasubiri siku watu waungue Ndio mtoke ofisini kwa mtindo wa Zima moto kwa ajili ya kufanya ukaguzi Ovyoo kabisa.View attachment 3132068
View attachment 3132069
View attachment 3132070
Exactly my point.Usipige marufuku jambo bila kuwa na njia mbadala.
Hayo mahojiano yapo wapi akikuambia kanunua mafuta kituo cha puma?picha akiwa puma filling station? tutaangalie wapi kwenye ayo madumu kujua kama yamebeba mafuta au maji? We unawachafua hao Puma, kingine hata kama nikweli ulitaka abebe jenereta aje nalo hapo kituo cha mafuta?Ewura hii tabia ya wamiliki wa vituo vay mafuta kuuza nishati hii kwenye madumu mtaikomesha lini huyu Dada amefanya manunuzi ya nishati hii katika kituo cha mafuta cha Puma Jijini Dodoma Bahiroad hatari zaidi amebeba mtoto mgongoni na mbaya zaidi amesafirisha mafuta haya kwa pikipipi, na mwendesha pikipiki huyu ajavaa kofia ngumu jeshi la polisi wapo busy na madada poa na Kuzuaia maandamano lakini mambo kama haya awayaoni wala hawana muda wa kuzuia
Nilimuhoji Dada huyu mafuta anapeleka wapi akajibu anaenda kijijini maana bodaboda alimshusha katika kituo cha kupakia abaria cha Iringa road maghorofani ambapo baadae alifanya hatari nyingine kwa kupakia madumu aya kwenye gari la Abiria linalofanya safari za Iringa Dodoma la nani kaona, hii Nchi viongozi wanaongoza kwa matukio kwa Ewura mnasubiri siku watu waungue Ndio mtoke ofisini kwa mtindo wa Zima moto kwa ajili ya kufanya ukaguzi Ovyoo kabisa.View attachment 3132068
View attachment 3132069
View attachment 3132070
Ewura hii tabia ya wamiliki wa vituo vay mafuta kuuza nishati hii kwenye madumu mtaikomesha lini huyu Dada amefanya manunuzi ya nishati hii katika kituo cha mafuta cha Puma Jijini Dodoma Bahiroad hatari zaidi amebeba mtoto mgongoni na mbaya zaidi amesafirisha mafuta haya kwa pikipipi, na mwendesha pikipiki huyu ajavaa kofia ngumu jeshi la polisi wapo busy na madada poa na Kuzuaia maandamano lakini mambo kama haya awayaoni wala hawana muda wa kuzuia
Nilimuhoji Dada huyu mafuta anapeleka wapi akajibu anaenda kijijini maana bodaboda alimshusha katika kituo cha kupakia abaria cha Iringa road maghorofani ambapo baadae alifanya hatari nyingine kwa kupakia madumu aya kwenye gari la Abiria linalofanya safari za Iringa Dodoma la nani kaona, hii Nchi viongozi wanaongoza kwa matukio kwa Ewura mnasubiri siku watu waungue Ndio mtoke ofisini kwa mtindo wa Zima moto kwa ajili ya kufanya ukaguzi Ovyoo kabisa.View attachment 3132068
View attachment 3132069
View attachment 3132070
ambao hawa akili kichwaniKukomesha Hii tabia, Serikali iboreshe kwanza maisha ya wananchi wake.
We ni fala, kama unalipwa mshahara wa bure hapo ulipo maana muda wa umbeya sijui unautoa wapi mtoto wa kiume.Ewura hii tabia ya wamiliki wa vituo vay mafuta kuuza nishati hii kwenye madumu mtaikomesha lini huyu Dada amefanya manunuzi ya nishati hii katika kituo cha mafuta cha Puma Jijini Dodoma Bahiroad hatari zaidi amebeba mtoto mgongoni na mbaya zaidi amesafirisha mafuta haya kwa pikipipi, na mwendesha pikipiki huyu ajavaa kofia ngumu jeshi la polisi wapo busy na madada poa na Kuzuaia maandamano lakini mambo kama haya awayaoni wala hawana muda wa kuzuia
Nilimuhoji Dada huyu mafuta anapeleka wapi akajibu anaenda kijijini maana bodaboda alimshusha katika kituo cha kupakia abaria cha Iringa road maghorofani ambapo baadae alifanya hatari nyingine kwa kupakia madumu aya kwenye gari la Abiria linalofanya safari za Iringa Dodoma la nani kaona, hii Nchi viongozi wanaongoza kwa matukio kwa Ewura mnasubiri siku watu waungue Ndio mtoke ofisini kwa mtindo wa Zima moto kwa ajili ya kufanya ukaguzi Ovyoo kabisa.View attachment 3132068
View attachment 3132069
View attachment 3132070
Tafuteni jerry canHili suala lina utata sana.
Wauza petrol kwa vichupa ni hatari Sana kwao na watu wanao wazunguka.
Lakini Kuna watumiaji mashine mbalimbali za diesel na petrol ambazo hawawezi kuzibeba kwenda kujazia mafuta petrol filling station.
Utafutwe utaratibu mzuri siyo kuzuia tu kununua kwenye madumu bila vifaa mbadala.