KERO Mafuta ya Petroli kuuzwa kwenye madumu kisha kusafirishwa katika magari ya Abiria sio salama, EWURA -Dodoma mpo?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wewe si mzee wa code wewe ni mzee mnoko.
 
Na wewe unatakiwa kukamatwa Mkuu unaruhusije aliekubeba kuovertake mkono wa kushoto?

Tena kwa kuwa unajua sheria unastahili kupewa adhabu inayofaa
 
Na wewe unatakiwa kukamatwa Mkuu unaruhusije aliekubeba kuovertake mkono wa kushoto?

Tena kwa kuwa unajua sheria unastahili kupewa adhabu inayofaa
Ni kweli mleta mada alikuwa kwenye hiyo pikipiki ya nyuma akipiga picha
 
Unafeli mdau
 
Kuna tatizo gani hapo je kama ana trekta lake shamba huko na hakuna kituo Cha mafuta afanyaje?, au gari limezima njiani alibebe?, pia hiyo ni ajira ya mtu
 
Kuuza mafuta kwenye vidumu ni hatari kwa usalama wako wako na hatari kwa afya yako. Badala yake jenga kituo kidogo cha gharama nafuu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…