Mafuta ya Safi na Korie yanatokana na Alizeti gani inayoganda?

Mafuta ya Safi na Korie yanatokana na Alizeti gani inayoganda?

yaani watu wengi wamekaririshwa hv, sijui mjinga gani alileta hii nadharia
plants oils are heat labile, easily produce free radicals and other oxidants which are extremely harmful to our healthy compared to animal oil which are heat stable.
sasa kuna mjinga mmoja alileta hii nadharia kua plants oil ar safe and animal oil is harmful, basi imekua wimbo.
Biashara za watu hzo wanatukataza kutumia health foods hili watuuzie madawa tukiugua watawapata wasiotafuta maarifa
 
Serikali gani? Serikali hii chovu isiyoweza hata kuendesha bandari ndiyo itaweza kulima? Wananchi nao ni wavivu wamebaki kukata viuno tu.
mwananchi unamuonea tu ww jembe la mkono atalima nini?akilima sana ekari 2
 
Korie ni mafuta ya zamani sana kama Tanbond ya miaka ya 1970s huko...Korie yalikuwa yanawekwa kwende Debe.
 
mwananchi unamuonea tu ww jembe la mkono atalima nini?akilima sana ekari 2
Uvivu wa mwananchi ni uzembe wake kwenye kuisimamia serikali. Tuna chuo kikuu cha kilimo, wangeweza kabisa kuwa na idara yenye mashamba ya kuzalisha mafuta ya kula ya kuitosheleza Tanzania yote.
 
Back
Top Bottom