MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

What if tayari joto liko kama jiko la mkaa na hamu inasoma full asubuhi na jioni? Hayana faida ya ziada kwa afya?
Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Aisee nilimuona mdada ofisini akiulizia sana haya mafuta ... kumbe ndio shughuli yake
 
What if tayari joto liko kama jiko la mkaa na hamu inasoma full asubuhi na jioni? Hayana faida ya ziada kwa afya?
Cc MziziMkavu

MAFUTA YA UBUYU
( BAOBAB SEED OIL )
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya
ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini
chake na kutoa mafuta. Utafiti huu
umefanywa na Kampuni ya Essential Oil
ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana
ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia,
yana vitamin A, B, C, D na F. Pia
yanatibu magonjwa mbalimbali kama
ifuatavyo:
1. Yanatengeneza seli zote ndani ya
mwili.
2. Huzuia ngozi isiharibike wala kupata
makunyazi.
3. Yanaondoa mafuta au koresto ndani
ya mishipa ya damu.
4. Yanapunguza uzito ulizidi.
5. Yanarutubisha ini na figo.
6. Yanaleta hamu ya kula.
7. Yanaimarisha mifupa, kucha na
nywele.
8. Yanaongeza kinga ya mwili {CD4}.
9. Yanaondoa sumu.
10. Yanatengeneza sukari iwe katika
kiwango kinachotakiwa.
11. Yanasaidia kuona vizuri na
kumbukumbu.
12. Yanapunguza vitambi na matumbo
makubwa.
13. Yanavirutubisho vyote
vinavyohitajika mwilini.
14. Yanaondoa madoa, chunusi, fangasi,
upele, m’ba na muwasho.
15. Yanafaa kwa walemavu wa ngozi
{albino}.
16. Huondoa hamu ya kutumia madawa
ya kulevya.
17. Huondoa vidonda vya tumbo.
Endelea kutumia mafuta bora ya ubuyu,
ni bidhaa asilia ya kitanzania. Ni mafuta
yasiyochanganywa na kitu chochote, ni
mafuta asilia.
MATUMIZI – USICHEMSHE.
1. Kwa wagonjwa wa kisukari tumia
kijiko cha chakula 1 tu nusu saa kabla ya
kula chochote kwa muda wa siku 15 dozi
ya kwanza, na ya pili na ya tatu {kila
baada ya siku 15 za kila dozi. Pumzika
wiki moja na endelea kupima kila wiki}.
2. Kwa vidonda vya tumbo, figo na ini
kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi
kabla ya kula chochote na usiku kijiko
cha chakula 1 kabla hujala chochote kwa
muda wa siku 15 dozi ya kwanza, siku
15 dozi ya pili, siku 15 dozi ya tatu {kila
baada ya siku 14 pumzika wiki moja},
baada ya dozi tatu kuisha anza kunywa
kila wiki mara moja, asubuhi nusu nusu
saa kabla hujala chochote kwa muda wa
wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara
moja asubuhi kabla hujala chochote kwa
muda wa wiki nne, kisha kunywa kila
mwezi mara moja, asubihi kabla hujala
chochote kwa muda wa miezi sita
mfululizo.
3. Kwa utoaji wa sumu kunywa kijiko
cha chakula 1 asubuhi kila siku kwa
muda wa siku 14, kisha kunywa kila
mwezi mara 1 kwa muda wa miezi sita
mfululizo.
4. Kwa kuongeza CD4 mwilini, tumia
mafuta haya kama ifuatavyo:
Asubuhi kijiko cha chakula 1 nusu saa
kabla ya kula chochote na usiku kijiko
cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula
chakula cha usiku kwa muda wa miezi
mitatu. Mgonjwa aanze kunywa baada
ya kipimo cha mwisho alichopima.
Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo
wa lita moja na zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Heh
Hua napaka mwilini tu kama mafuta
Kumbe ina shughuli zingine?
Basi sawaa

hewala bi mkubwa, hebu yajongeshe na kule ikulu halafu mwezi ujao utupe mlishonyuma.
 
Mi nimetumia kweli inaongeza libido kinoma.
 

We papuchi yako imekuwa mnato?
 

Kwa wale wa VIDIMBWI hii itawasaidia sana... Maana utakuwa unamnato na kidimbwi chako
 
Post nzuri sana hii ila nashauri mtakaoimarishiwa hamu kwa mafuta haya mtulie katika ndoa zenu, ukimwi bado dawa yake haijapatikana.


weweeee.... embu acha kutisha watoto jenerali bana. na iyo shampeni unapeleka wapi kwanza?
 
Wengine tumesharizika na Mungu alivyotutengeneza naona ni safi tu.
 
Hapo kwenye bold bora umeweka angalizo maana maubuyu yangeisha huko masokoni kama ungesema inafanya dushelele iongezeke urefu....LOL

Watu wangechemsha mti wa mbuyu kabisa na kunywa badala ya mafuta ya tunda tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…