MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

Me nauza haya mafuta lita 1 ni elfu 35
kwa waliopo dar tuwasiliane kwa namba 0713890628 kuna wadau kadhaa hapa JF nimewauzia na sijapata malalamiko kama hayana ubora,yanatengenezwa dodoma,ukihitaj nakuletea hadi hapo ulipo,kwa WATU WA DAR
PIA KWA WALE WA DODOMA NAMBA 0756251187-NDOSA
 
Nataka nionje kwanza ya kwako ili nione kama uliyoeleza hapo juu yana ukweli wowote.
 
ha hahaha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii baba mchanga mama mkinga!!!

naona sasa dada Suzane unacheka kilema changu!
Sikupenda niwe hivi na wala sikuomba so usininyanyapae,ni kilema hiki jamani kama vilema vingine!Ahahaha
 
naona sasa dada Suzane unacheka kilema changu!
Sikupenda niwe hivi na wala sikuomba so usininyanyapae,ni kilema hiki jamani kama vilema vingine!Ahahaha

jamani mbona unaniwazia mambo mabaya?
 
Mrembo by Nature unaoonekana mkali wa tafiti ile ile, nishauri nitumie dawa gani ili kupunguza nguvu za kiume mak nahisi ni nyingi sana kwani, nikiingia kwenye game hadi niende mara 12 kufika asubuhi, nahisi nakuwa nachosha sana!
 
Haya afuta ya Ubuyu yanakuwa na brand name ipi?. Naomba jibu tafadhali.
 
Shikamooni,

Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula chochote (usiyachemshe pls) (2) yapake kwenye papuchi kila siku afta kuoga (panga mengi). Itasaidia kuzidisha hamu ya tendo la ndoa na kuongeza joto plus mnato kunako.

Note: Hakikisha ni yenyewe kutoka kiwandani sio yale yalochakachuliwa.

Tumia baada ya mwezi alafu ulete majibu kuprove ukweli wa hili.

Samahani kama hii post imekukwaza.

SHUKURANI: Nawashukuru sana wale wote mliofika PM kuulizia kuhusu upatikanaji na matumizi ya mafuta haya. Usisite kuuliza ili upate msaada zaidi. Hata wale wanaojifanya kupotezea ila kimoyomoyo wameyakubali na wameshaanza kuyatumia nawatakia kila la heri na mafanikio katika mchakato huu wa kuunga Papuchi a.k.a punani zenu.

Hii thread imesababisha upungufu wa ghafla wa haya mafuta ya Ubuyu huku Arusha, imekuwa gumzo wakina dada wameya changamkia yote. Kwa kifupi hayapo tena nimeyatafuta kwa ajili ya kunisaidia kupunguza BP nimeeambiwa hadi wiki ijayo yataletwa toka Dodoma.
 
Najiandaa kuwa supplier mkuu wa mafuta haya DSM na ARUSHA.....naomba uniunge mkono babu masanilo
 
Najiandaa kuwa supplier mkuu wa mafuta haya DSM na ARUSHA.....naomba uniunge mkono babu masanilo

Utaokoa ndoa nyingi sana! Ila cha muhimu hakikisha hayachakachuliwi, Kuna washenzi wanachanganya na mafuta ya alizeti sisi wagonjwa wa BP tukitumia tunaharisha. Nakuunga mkono sana tu..
 
Utaokoa ndoa nyingi sana! Ila cha muhimu hakikisha hayachakachuliwi, Kuna washenzi wanachanganya na mafuta ya alizeti sisi wagonjwa wa BP tukitumia tunaharisha. Nakuunga mkono sana tu..

Nitayafwata kiwandani mwenyewe......najua wapi nitayapata dodoma...ila yanaadimika kwani wanasema mbegu za ubuyu hazina mafuta mengi na hivyo huchukua muda sana wakati wa ukamuaji hadi kufikia kiwango kinachotakiwa....

Pls niandalie wateja kabisa wewe utakuwa unapata bure
 
Usikonde kabisa utakimbia wateja
 
Back
Top Bottom