Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #101
sawa kungwi.
Niletee mwali wako basi nimfunde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kungwi.
Niletee mwali wako basi nimfunde
mi sina, nataka nipate mmojawapo wa uliowafunda.
Ubuyu unaitwaje in english? Nataka kugoogle
Hakuna kikupatacho zaidi ya kufubaa ngozi na kupungua joto kunako (ila huchukua muda sana) hasa kwa wale wanaopaka mwilini na kunywa
hayo mafuta nnayo ndani lita nzima babaBeata aliyanunua anywe akajiskia kutapika baada ya kunywa kijiko ki1 tu nikawa nimeyaweka kama makumbusho, sasa yamepata kazi hahahaa
kina amu?Wako humu JF nilishawafunda, wewe chagua tu yeyote kwani walishaiva
Hahahahahahaha mbona lotion unapaka daily???? mwali hutaki kuwa mtumwa ila tayari wewe ni mtumwa wa lotion sijui ndio nivea au revlon
ahaaa kumbe? Ngoja nikukamate........
haa kumbe baobab ndo mti wa ubuyu! Kwa kweli ckujua hili japo naifaham baobabbaobab
Hahahaha Sante kwa ushauri my dia Mrembo by Nature.....
Ila kiukweli wadada/ wamama kazi tunayo..... Wowowo mchina(feki), uso mkorogo (feki),haya tena papuchi mafuta ya ubuyu (feki) nywele, kope nazo feki uwiiiii yote hii ni nini jamani?
kina amu?
Mrembo by Nature lotion haina tatizo bana hata nikiikosa mwezi mzima wala hainipi mawazo, sasa hiyo papuchi leo mume aikute mnato kesho mdebwedo khaaaa si bora ajizoelee tu jaman
haa kumbe baobab ndo mti wa ubuyu! Kwa kweli ckujua hili japo naifaham baobab
Kazi mnayo kweli, kila kitu feki... ili iweje jamani? Kumridhisha mwanaume? Huyu jamaa haridhiki dada zangu.
Nani kakwambia tunafanya ili aridhike?? kwani mng'ao au afya ya mwili si kwa faida ya mtu mwenyewe???au hata lotion watu wanazopaka pia ni kwa ajili ya watu?? lakini hata ingekuwa kwa ajili ya watu sio ajabu sana kwani hata Mead alisema we do things for others thats why ukiwa room peke yako waweza hata kaa uchi ila ukitoka lazima ujiangalie.....so sio mapya....ukiona vinakukwaza ujue Havikuhusu!!!! au nawe siku hizi una papuchi?????