Ohoo hii ndio tz bwana, kila kitu kina matumizi mbadala. Binadamu wana mambo, ndugu hapa wamesoma kimya kimya ila huko wanaenda kuyanunua na kupaka. Huu ndio ukweli
nasikia yanaleta cancer ya k faster
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo hii ndio tz bwana, kila kitu kina matumizi mbadala. Binadamu wana mambo, ndugu hapa wamesoma kimya kimya ila huko wanaenda kuyanunua na kupaka. Huu ndio ukweli
Labda kunywa lol..... Manake huwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo sana ila kupaka papuchini hapana hahahaha
nasikia yanaleta cancer ya k faster
Labda kunywa lol..... Manake huwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo sana ila kupaka papuchini hapana hahahaha
Kunywa utibu vidonda mwaya.......Pia Kunywa uwe mwororo zaidi na zaidi kwenye ngozi (najua ww ni ngozi nyororo tayari ila ongezea), yani utakuwa na mng'ao wa ajabu mwilini.....kwanza ukinywa tu bila hata kupaka kwenye kei huko mahala lazima changes zitaonekana tu.
Mhhh uongo bana, kwani huu ni mkorogo? au una chemicals?? waongo wakubwa
Is that not carcinogenic?
Hahahaha Sante kwa ushauri my dia Mrembo by Nature.....
Ila kiukweli wadada/ wamama kazi tunayo..... Wowowo mchina(feki), uso mkorogo (feki),haya tena papuchi mafuta ya ubuyu (feki) nywele, kope nazo feki uwiiiii yote hii ni nini jamani?
Hahahaha, mie pia mgeni hapa Kaizer labda tumuulize Mrembo by Nature lol
Ubuyu sio feki bwana, ni kama mwali anavyopakwa pumba za mahindi na machicha ya nazi ili ang'ae siku ya harusi.....sasa unaweza sema haya ni fake? mwali hebu nisaidie
Kweli vitu vinaongezewa matumizi, ila huenda ikawa ndio asili ya urembo wako. Kila la heri mabinti uliopata maujanja toka kwa bishostito mwenzenu.
Ubuyu sio feki mpendwa ila unaifanya papuchi kuwa fake...... Manake inaiondoa kutoka kwenye asili yake ya mwanzo na kuifanya mnato sijui joto lol...... Huu kwa mimi ni utumwa lol......ntapaka mpaka lini my dia?
sawa kungwi.Mie sijatumia bado, nitatumia rasmi muda wangu ukifika, ila mie ni kungwi so huwa nawapatia wali wangu ninaowafunda wanapokaribia ndoa zao.....na huwa inafanya kazi kweli....hii inaitwa GUSA UNASE