MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

kazi kweli kweli...... soko likiwa kubwa feki kibao hii tz aada ya muda wadada watakuwa wameathirikaje
 
shikamooni,

kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula chochote (usiyachemshe pls) (2) yapake kwenye papuchi kila siku afta kuoga (panga mengi). Itasaidia kuzidisha hamu ya tendo la ndoa na kuongeza joto plus mnato kunako.

Note: Hakikisha ni yenyewe kutoka kiwandani sio yale yalochakachuliwa.

Tumia baada ya mwezi alafu ulete majibu kuprove ukweli wa hili.

Samahani kama hii post imekukwaza.

Shukurani: Nawashukuru sana wale wote mliofika pm kuulizia kuhusu upatikanaji na matumizi ya mafuta haya. Usisite kuuliza ili upate msaada zaidi. Hata wale wanaojifanya kupotezea ila kimoyomoyo wameyakubali na wameshaanza kuyatumia nawatakia kila la heri na mafanikio katika mchakato huu wa kuunga papuchi a.k.a punani zenu.
ukitaka kutajirika sasa hivi associate bidhaa zako na tendo la ndoa
 
Nimeona zao la mbuyu likitangazwa kutibu mengi, sishangai kwa toleo hili. Wateja ongezekeni niangalie uwezekano wa kujikita katika biashara ya baobab products.
 
Shikamooni,

Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula chochote (usiyachemshe pls) (2) yapake kwenye papuchi kila siku afta kuoga (panga mengi). Itasaidia kuzidisha hamu ya tendo la ndoa na kuongeza joto plus mnato kunako.

Note: Hakikisha ni yenyewe kutoka kiwandani sio yale yalochakachuliwa.

Tumia baada ya mwezi alafu ulete majibu kuprove ukweli wa hili.

Samahani kama hii post imekukwaza.

SHUKURANI: Nawashukuru sana wale wote mliofika PM kuulizia kuhusu upatikanaji na matumizi ya mafuta haya. Usisite kuuliza ili upate msaada zaidi. Hata wale wanaojifanya kupotezea ila kimoyomoyo wameyakubali na wameshaanza kuyatumia nawatakia kila la heri na mafanikio katika mchakato huu wa kuunga Papuchi a.k.a punani zenu.
Aseee
 
Back
Top Bottom