Hujajibu swali bosi
wanauliza kama bei ya mafuta itakapo rudi kama ilivyokuwa kabla ya vita ya Iran/ Marekani na hapa nyumbani bei itashuka hivyo hivyo au kuna..........watatembea na hiyo gap?
Hujajibu swali bosi
wanauliza kama bei ya mafuta itakapo rudi kama ilivyokuwa kabla ya vita ya Iran/ Marekani na hapa nyumbani bei itashuka hivyo hivyo au kuna..........watatembea na hiyo gap?
akili yangu ndogo inaniambia ikitokea watu wameandamana kupinga serikali kupandisha bei za mafuta wakati bei imeshuka kwenye soko la dunia, dunia itawaelewa, kinyume na hapo ni kujitafutia matatizo na wanywa asali