Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.
Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.
Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.
CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.
Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.
CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.
Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.
Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.