Mafwele awanoa polisi Kata Dar es salaam. Majibu yamepatikana

Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.

Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.

Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.

Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.

Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.

CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.

Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.

CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.

Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.

Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Jua tu kuna siku itafika tutakusanywa pamoja kila mmoja atamdai aliemdhulumu mwengine. Siku hio ndio iogope sana kuliko kitu chochote kile
 
Ndiyo maana Mtu kama Nchimbi ingawa mko chama naye kimoja lakini anawaponda nyie wote. Wewe hata huna aibu Chama, Chama, Chama --- kitatawala mika - 1000000, unatawala wewe? Angalia Mkuu Nchimbi anatawala na anaponda. Hii Mindset ya Nchimbi ndiyo WaTanzania!!!!!!!! Mtoto wa mjini -- Mtoto wa Polisi (ya Zamani)-ile ya Nyerere
Wakishua huyo hawezi elewa husle za kitaa
 
Ndo akili zenu zilipoishia.
Mtu analindwa na vijana 3 wenye mashine za nguvu kijana hata kuchana nywele hajui anatangaza kamteka
Walimwengu wakitaka yao, hata ulindwe na radar, watafanya tu.

Ukute kati ya hao hao vijana wa 3 kuna waliosaidia ku spread afande's cheeks wahaini walivyokuwa wanajisosomolea.
 
Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.

Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.

Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.

Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.

Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.

CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.

Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.

CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.

Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.

Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Nyie mataahira wa CCM mbona kila kitu mnataka kuihusisha Chadema , lini Chadema walitoa official statement kuwa Mafwele amefirwa? Chadema hii ambayo mumeipiga ban isifanye kazi zake za kisiasa lakini kila mkibanwa mavi lazima muitaje, wapumbavu wakubwa nyie.
 
Nyie si kwamba mnampenda au kumkubari Nchimbi....bali nyinyi mna udini sana sana...chuki yenu kwa Rais aliyepo ni dini yake tu; yaani Bora awe hata jambaz,au fisadi Rais cha msingi awe tu mkristo mwenzenu! .....sasa nyinyi sio watu wazuri kwa usalama wa Taifa letu...msichokijua wapo viongozi wakristo ni wazuri sana na Wala hawana udini bali wanaongozwa kulinda usalama wa Nchi na kwa kuzingatia Nchi si ya dini moja....... Magufuli kafanya mabaya mengi (M/Mungu amrehemu) lakini mlitumia nguvu kubwa kumpigania kweli kweli! Sababu tu wa dini yenu...

Mimi binafsi nishashtukia ilo kitambo, sasaivi nna kazi ya kuwaelemisha watu waelewe kuwa Samia anachukiwa sio kwasababu ya mengine,ila dini Yake tu....jiwe ndio muanzilishi wa kuvuruga democrasia Nchini,lakini thubutu humu kulizungumzia ilo kama vijana wa Kitima awajakushukia mwewe na matusi juu....mfano Mimi watakuja hapa kunitukana matusi mazito vijana wa Kitiima
Wapi na wapi nimeongea udini hapo? Hapo nimemjibu huyo anayejidai hoo hiki chama kitatawala milele. Nchimbi kasimama kasema mambo ya vyama ni ya kizamani kishamba kishamba, mimi nimeona kweli. Na naangalia historia yake kumbe kakulia laini, zile za Nyerere, siku zile laini zilkua na nidhamu maana ziliachwa na mwingereza kwa nidhamu, au wewe ujui, uliza wenzio.

Hamna udini hapo Nchimbi kasema kitu cha kweli, ingawa yupo CCM
 
Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.

Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.

Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.

Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.

Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.

CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.

Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.

CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.

Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.

Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Chama ni vikao sio porojo za mitandaoni. Ni wapi cdm kama chama wamekaa kujadili hizo porojo? Kama hujui tofauti ya chama na porojo za mitandaoni utakuwa na jipya gani?
 
Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.

Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.

Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.

Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.

Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.

CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.

Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.

CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.

Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.

Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Ulikuwepo???!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani mtu akiliwa anaondolewa kufanya majukumu kikubwa ameliwa
 
Majibu ya nn chawa umepata? kwamba kafirimbwa? Kwani inaachaga alama?😛😛
 
Back
Top Bottom