Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ipi ndiyo hii mfu ama nyingine!Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.
Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.
Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.
CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.
Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.
CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.
Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.
Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Mimi siabudu mtuMwandishi; Samia atosha tukutane 2030; umeshindwa hata kuanza na neno Mheshimiwa Rais kama unataja Jina la Shangazi yako, Fool
Ndiyo maana Mtu kama Nchimbi ingawa mko chama naye kimoja lakini anawaponda nyie wote. Wewe hata huna aibu Chama, Chama, Chama --- kitatawala mika - 1000000, unatawala wewe? Angalia Mkuu Nchimbi anatawala na anaponda. Hii Mindset ya Nchimbi ndiyo WaTanzania!!!!!!!! Mtoto wa mjini -- Mtoto wa Polisi (ya Zamani)-ile ya NyerereDalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.
Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.
Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.
CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.
Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.
CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.
Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.
Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.
View attachment 3551422
Nyie si kwamba mnampenda au kumkubari Nchimbi....bali nyinyi mna udini sana sana...chuki yenu kwa Rais aliyepo ni dini yake tu; yaani Bora awe hata jambaz,au fisadi Rais cha msingi awe tu mkristo mwenzenu! .....sasa nyinyi sio watu wazuri kwa usalama wa Taifa letu...msichokijua wapo viongozi wakristo ni wazuri sana na Wala hawana udini bali wanaongozwa kulinda usalama wa Nchi na kwa kuzingatia Nchi si ya dini moja....... Magufuli kafanya mabaya mengi (M/Mungu amrehemu) lakini mlitumia nguvu kubwa kumpigania kweli kweli! Sababu tu wa dini yenu...Ndiyo maana Mtu kama Nchimbi ingawa mko chama naye kimoja lakini anawaponda nyie wote. Wewe hata huna aibu Chama, Chama, Chama --- kitatawala mika - 1000000, unatawala wewe? Angalia Mkuu Nchimbi anatawala na anaponda. Hii Mindset ya Nchimbi ndiyo WaTanzania!!!!!!!! Mtoto wa mjini -- Mtoto wa Polisi (ya Zamani)-ile ya Nyerere
CDM sasa hv wamegeuka kuwa kiwanda cha uzushiHuyu SI tuliambiwa alifirwa na kunyonyeshwa mtalimbo SI huyo hapo saa
As long as kinyeo hakionekani mimi naamini vijana walifanya yao.Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.
Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.
Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.
CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.
Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.
CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.
Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.
Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Ndo akili zenu zilipoishia.As long as kinyeo hakionekani mimi naamini vijana walifanya yao.
Post inayodhihirisha ukosefu wa akili, hakujawahi kuwa na chama chochote cha opposition kilichowahi officially kuzungumza kuhusu Mafwele kufirwa au kufanywa chochote kile. Bear in mind si kwamba kila anayepinga ukandamizaji wa dola ni mwana CHADEMA, wengi ni neutral ila wanataka tu justice katika nchi yao.Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.
Keshokutwa wakija akina Mazinge kuhubiri uislamu watasilimu.
Mtu mwenye akili si mwepesi kuamini jambo na akiamini si kazi nyepesi kumtoa na kumweka sehemu nyingine maana anaamini kwa kufanya deep analysis.
CHADEMA na wapinzani wakaamini kirahisi hadithi za kitoto kiasi kile.
Jana tarehe 2. Machi. 2025 Mafwele kawanoa polisi Kata Dar es salaam media nyingi wamerusha picha mgando na picha mjongeo.
CHADEMA na wapinzani walivyo wajinga kesho tu mtu ataanzisha mada ya kitoto wataamini.
Mpuuzi mmoja eti anawajaza upepo kuwa ni kanali wa NATO ndiye kamteka Mafwele.
pumbavu kabisa.
Kwa akili hizi za wapinzani CCM watatawala miaka na miaka.
I hate CCM always ila kwa wapinzani hawa wajinga ni bora niwe mwana CCM.
View attachment 3551422
Hata maandamano mlisema CHADEMA haihusiki lakini misiba na vilio vingi vilikuwa ndani ya CHADEMA.Post inayodhihirisha ukosefu wa akili, hakujawahi kuwa na chama chochote cha opposition kilichowahi officially kuzungumza kuhusu Mafwele kufirwa au kufanywa chochote kile. Bear in mind si kwamba kila anayepinga ukandamizaji wa dola ni mwana CHADEMA, wengi ni neutral ila wanataka tu justice katika nchi yao.
Kama Mafwele alifirwa kweli au la hayo ukweli anaujua yeye na wale wanaodai kuwa walimfira, anaweza kufirwa na baada ya kuachiwa akaendelea na kazi zake.
CHADEMA kujivika uhusika kwenye misiba ile ilikuwa ni political move, kama kichwa chako kina uwezo wa kuchanganua facts you can see that from miles away.Hata maandamano mlisema CHADEMA haihusiki lakini misiba na vilio vingi vilikuwa ndani ya CHADEMA.
Mimi siabudu mtu