Mafwele nakukumbusha tu, hao CCM na Serikali watakupoteza muda ukifika

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Kwa sasa utaenjoy kuskia sauti za unaowaua wakiwa wanalia kuomba usiwauwe na unawaua! Amini nakuambia watu dhalimu kama wewe huwa hawafi mapema! Mungu huwa anawaacha ili watumikie dhambi zao hapa hapa duniani!

Nakukumbusha tu CCM wakishamaliza episode hii basi utapukutika!

America pia hawako mbali! wewe ndio mtuhumiwa namba moja katika kundi la watekaji! Muda utafika hautaamini! nakuhakikishia hilo! mark this post
 
nonsense 🐒
 
Siamini kama huyo jamaa yupo peke yake, itakuwa wapo wengi ila yeye kawa maarufu tu

Hawezi hiyo kazi akafanya peke yake
 
Hayuko peke yake.

Mafwele ni mole ndani ya Jeshi la polisi ambao wanafanya kazi chini ya Haji Omar Kheir, ambaye anaripoti kwa Samia.
 
Back
Top Bottom