Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Mods wameondoa tick yako , si ulikuwa verified?Kipind hicho naww donat yako kashaila
Ingia road acha taarabu
Watajijua wenyewe, mm sijal hao jamaa wote makafir wananchukia navowatukana makafir wenzao na wao piaMods wameondoa tick yako , si ulikuwa verified?
nonsense 🐒Kwa sasa utaenjoy kuskia sauti za unaowaua wakiwa wanalia kuomba usiwauwe na unawaua! Amini nakuambia watu dhalimu kama wewe huwa hawafi mapema! Mungu huwa anawaacha ili watumikie dhambi zao hapa hapa duniani!
Nakukumbusha tu CCM wakishamaliza episode hii basi utapukutika!
America pia hawako mbali! wewe ndio mtuhumiwa namba moja katika kundi la watekaji! Muda utafika hautaamini! nakuhakikishia hilo! mark this post
Mpaka vizazi vyao ni tabu tupu.Jamaa kajilipua kweli
Wanaishigi kwa tabu sana badaye
Ova
Hayuko peke yake.Siamini kama huyo jamaa yupo peke yake, itakuwa wapo wengi ila yeye kawa maarufu tu
Hawezi hiyo kazi akafanya peke yake
kula chuma cha wamarekani hichoononsense 🐒