Mafwele ni nani hasa? Mkono wa sheria unamwogopa?

Kama yasemwayo ni kweli huo si utawala wa Sheria, tatizo hawa wanaharakati wetu hawaaminiki porojo nyingi na wayaongeayo mengi ni ya uongo.
 

SACP Faustine Mafwele ndiyo IGP ajaye, kaeni kwa kutulia. Mimi na CCM damu damu
 
wanamuogopaje wakati wao ndio wanamtuma? maana waliangalia mtu mwenye akili fyatu kama yeye wakakosa, yeye ni project tena analipwa handsomely kuliko huyo bosi wake aijiipii maana yeye ndio Killer in chief wa nchi hii kwa maelekezo ya hangaya.
 

Huyu SACP MAFWELE ndiye aliyekomesha panya road Darisalamu
 

hiyo"kila serikali ina kila mtu kaliba y mafwele" ni kwa mjibu wanini?.
Serikali ya Sweden ama Norway pia ina polisi wanao lawiti,kuua,kuteka?.
 
Hu
hiyo"kila serikali ina kila mtu kaliba y mafwele" ni kwa mjibu wanini?.
Serikali ya Sweden ama Norway pia ina polisi wanao lawiti,kuua,kuteka?.
Huko Sweden na Norway kuna wananchi wameandama na kuiba na kupora mali za watu?

Kila serikali duniani ina watu wa namna hii ya Mafwere kama hutaki nenda Norway kaandamane huku unaiba mali za watu ndiyo utajua wapo au hawapo
 
Hilo ndio moja ya moroboti ya ccm na serikali, kila analofanya linabaraka toka ikulu, linashikwaje sasa?
 
Basi hapo tuamini kila analofanya Mafwele ni Kwa niaba ya serikali.
Yaani askari Gani anabaka na kulawiti watu
Kutesa na kuuwa watu
Wanalawiti alafu baadae unaambiwa eti kuna vyama vinataka kuleta ushoga Tanzania!!

Cha ajabu bungeni walishangilia kusikia Mwangi na Agatha wamelawitiwa na wakalaumu kwanini waliachwa hai!! Na Dr Tulia alikua anakenua meno tu.

Hii nchi ishapoteza muelekeo
 
Ni aibu
 
SACP Faustine Mafwele ndiyo IGP ajaye, kaeni kwa kutulia. Mimi na CCM damu damu
Ngumu kuwa IGP Kwa cheo chake Kuna ka safari kadogo ka kuwapangu ma DCP hadi kuwa CP .. labda kama hakuna kuzingatia seniority siku hizi
 
Kuna yule Mzee aliyesema kwamba zile video za mauaji ya MO29 ni AI
Sijawahi kumwona wala kumsikia tena Kamanda sijui kapotelea wapi na yale matamko yake!
Waliotoa matamko ya kipumbaf wakati ule ni wengi.

Embu jaribu ku specify, comment yako ina logic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…