Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Kuhusu u Igp au u Cdf, huwa kuna uwezekano wa Srn officer yeyote 'wanayemtaka wao' kumvuta na kumbandika hicho cheo pamoja na madaraka.Ngumu kuwa IGP Kwa cheo chake Kuna ka safari kadogo ka kuwapangu ma DCP hadi kuwa CP .. labda kama hakuna kuzingatia seniority siku hizi
Ile voice iliovuja akijitapa kawateka wanajeshi wa jwtz hukusikia au? Huyo jamaa hata mkunda na igp wanamgwaya vibaya mno.π€£π€£π€£ Weeee anatisha eeh? Mtu anafahamika anaogopwaje?
π€£π€£π€£ Kama point of reference ndio hiyo. Nikutakie mawindo mema Comrade kipepeIle voice iliovuja akijitapa kawateka wanajeshi wa jwtz hukusikia au? Huyo jamaa hata mkunda na igp wanamgwaya vibaya mno.
Ila haipaswi kuwa hivyo na ndio maana wanazingua sana, refer Mkunda alivyotia doa JW na waliowekwa Kwa kuvunja utaratibu tazama walivyotoa mabokoKuhusu u Igp au u Cdf, huwa kuna uwezekano wa Srn officer yeyote 'wanayemtaka wao' kumvuta na kumbandika hicho cheo pamoja na madaraka.
Ref to: Cdf Twalipo, Cdf Mkunda namna walivyopatikana.
Na mkuu wa Takukuru naye vipi kama unakumbuka alivyopambwa vyeo vya ghafla, chambua mifano hiyo michache.
Ni kwamba unajitoa ufahamu au?Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili
Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake
Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele
Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza
1. Boniface Mwangi
Huyu Raia wa Kenya, ametoa shuhuda kuwa Mafwele na genge lake walimteka kumtesa na kumlawiti hadharani huku wakiwa record na kumwamrisha amshukuru Samuya
2. Agatha
Huyu ni mdada kutoka Uganda, ametoa shuhuda kuwa Mafwele alimteka na kumpeleka mafichoni na kumpiga pia alifanywiwa kitendo cha kumbakwa
3 Sativa
Huyu ni Mtanzania ametoa shuhuda kuwa Mafwele alimteka na na kutoa oda ya kumpiga risasa ya shingo pia kumtupa porini aliwe na wanyama wakali
4. Hilda Newton
Huyu mwanaharakati nae anasema akiwa sello bila kupata sheria, Mafwele alikuja kumtesa na kumfanyia udhalilishaji wa kingono
Swali kwanini Mafwele hajawahi kukamatwa wala kuhojiwa?
View attachment 3538671
Pigia mstari.Basi hapo tuamini kila analofanya Mafwele ni Kwa niaba ya serikali.
Mbona mrembo tuSura ya mafwele imepauka wajamani dah. Ndo maana anaogopwa aisee!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Matraco yake one day naye atakufa tu.
πππππππππNi suala la muda tu, nayeye atafirwa na kuwambwa makofi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Jwtz wenyewe wanamuogopa balaa huyo mwamba
Hakika.Ipo siku lenye mwanzo linamwisho
ChaiHuyu SACP MAFWELE ndiye aliyekomesha panya road Darisalamu
Jamaa ni hatari, ana balaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mifano ipo mingi, hujui hii nchi polisi wana nguvu kuliko jwtz??! Hii nchi inaendeshwa na jeshi moja tuu, jeshi la polisi chini ya Mafia mbobezi Faustino de mafweleπ€£π€£π€£ Kama point of reference ndio hiyo. Nikutakie mawindo mema Comrade kipepe
Anafaa kwa matumizi, siyo?Mbona mrembo tu
shida ni jinsi ya kumfikia ndo shida yenyewe!
Unamaanisha matumizi gani?Anafaa kwa matumizi, siyo?
Ya wahuni kumvaa from behind.Unamaanisha matumizi gani?
sabuni na mafuta?!
yeah π.π ππ michezo ya Pdidy
Sawa tuYa wahuni kumvaa from behind.