MAGA wa Marekani mwaka 1939 walipinga vita kama sasa hivi.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Walipinga Marekani kuisadia Uingereza na mataifa mengine ya ulaya dhidi ya vita vya Adolf Hitler, watu wajinga wa hovyo wamekuwepo duniani nyakati zote ila wingi wao tu ndio huwa unabadilika.
20250420_144900.jpg
 
View attachment 3310229
MAGA ya sasa imeundwa zaidi na White supremacists.
 
Back
Top Bottom