Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Majeshi ya israel yanaendelea kuzipiga ngome za magaidi wa Hamas huko Gaza na wale waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha zoezi la ubadirishanaji Mateka sasa hivi wameshazitupa wanavaa kiraia tu na ni waoga sana angalia kwenye video walivyokuwa wanazimenya mbio hii inadhibitisha wazi kuwa Israel haina mpinzani huko Mashariki ya kati mpaka huko Uajemi!!!