Magaidi wa Hamas wanaangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

Unateseka ukiwa wapi Gaza ya wana Gaza itabaki ivyo siku zote Wavamizi wenye nia ovu na Ardhi ya wengine !!!!

watatumia kila aina ya majina gaidi na mengine kuwapumbaza walimwengu lkn kwasasa Dunia imeshashtuka !!!!

uku unamwita Gaid na kumuuwa uku unapora Ardhi yake !!!¿¿

. Ni Wapumbavu tu ndio watawaamini Majambazi awa wa Mchana kweupe!!!

ata Wazungu wenzao wamewashtukia miaka ya nyuma walidanganya watu lkn sasa ulimwengu umejionea yaliofichika Asante Al jazeera umeanika nyeti za kuku. Kweupe..
 
Gp7D1RNXQAAziig.jpeg
 
Mlizoea sana kulisha watu Matango Pori safari hii mtakoma uongo wenu umeanikwa pamoja na kwamba mnauita Taqiyyah
 
Nimekuambia hili wanalijua wale waliosoma kiyuba nyinyi wengine endeleeni tu kulishwa propaganda za Marekani na Israel

Hamuna mlijualo katika yanayoendelea hapa Duniani ni sawa tu na mazumbukuku ulimwengu upo huku
🫸🫷😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom