Mlizoea sana kulisha watu Matango Pori safari hii mtakoma uongo wenu umeanikwa pamoja na kwamba mnauita TaqiyyahUnateseka ukiwa wapi Gaza ya wana Gaza itabaki ivyo siku zote Wavamizi wenye nia ovu na Ardhi ya wengine !!!!
watatumia kila aina ya majina gaidi na mengine kuwapumbaza walimwengu lkn kwasasa Dunia imeshashtuka !!!!
uku unamwita Gaid na kumuuwa uku unapora Ardhi yake !!!ΒΏΒΏ
. Ni Wapumbavu tu ndio watawaamini Majambazi awa wa Mchana kweupe!!!
ata Wazungu wenzao wamewashtukia miaka ya nyuma walidanganya watu lkn sasa ulimwengu umejionea yaliofichika Asante Al jazeera umeanika nyeti za kuku. Kweupe..
Toka waanze kuangamizwa hawaishi tu?Magaidi wa Hamas wanaendelea kuangamizwa huko Gaza!!! Na Gaza inazidi kusawazishwa na muda si mrefu itakuwa sawa!!
View: https://x.com/vividprowess/status/1928494110580896113?s=61
View: https://x.com/vividprowess/status/1928494110643818982?s=61
HazikutoshiSafari hii mtanyooka nipΔ i moyo tu!!!
Subiri unyooshwe weweSafari hii mtanyooka tu!!!
Hao magaidi wa Hamas wanaona fahari gani kuendelea kuwashikilia mateka wakati wapalestina wanaisha kwa nini waarabu ni jamii ya watu wajinga hivyo..!!??πππ
Upambanapo na adui muumize kidogokidogo ili alie kwa muda mrefu zaidi.Toka waanze kuangamizwa hawaishi tu?
Wale waliowaachia walitokea wapi?Hakuna Hamas aliyemteka mtu hao Mazayuni wamejiteka wenyewe na wanajishikiria wenyewe
Tuliyosoma kiyuba tunalujua hilo
Nimekuambia hili wanalijua wale waliosoma kiyuba nyinyi wengine endeleeni tu kulishwa propaganda za Marekani na IsraelWale waliowaachia walitokea wapi?
π«Έπ«·ππππππππππNimekuambia hili wanalijua wale waliosoma kiyuba nyinyi wengine endeleeni tu kulishwa propaganda za Marekani na Israel
Hamuna mlijualo katika yanayoendelea hapa Duniani ni sawa tu na mazumbukuku ulimwengu upo huku
A lunatic at his best.Hakuna Hamas aliyemteka mtu hao Mazayuni wamejiteka wenyewe na wanajishikiria wenyewe
Tuliyosoma kiyuba tunalijua hilo
Mlizoea sana kulisha watu Matango Pori safari hii mtakoma uongo wenu umeanikwa pamoja na kwamba mnauita Taqiyyah
Myahudi wa manzese unaumia kuliko wayahudi wa Israeli?Safari hii mtanyooka tu