Yaani wewe myahudi wa Gwajima unaumwa na mashoga wa kiyahudi , msikilize huyu myahudi anavyosema
View attachment 3352887
Tumia akili yako vizuri!!
Sasa Kama hujui ilikuwaje unawapicha watu usheikh ? Hiyo ya Rabbi unamjua ?Ndiyo sijui!!
Dini ndugu yangu ( bikira72)Hao magaidi wa Hamas wanaona fahari gani kuendelea kuwashikilia mateka wakati wapalestina wanaisha kwa nini waarabu ni jamii ya watu wajinga hivyo..!!??πππ
Utaambiwa walijiachia huku IDF wakiwa wamevaa combat za hamasWale waliowaachia walitokea wapi?
Wewe Mimi si mtoto mwenzio usiniulize maswali ya kijinga!!!