Unajifanya wewe unajua Kuchamba kuzidi waarabu?
Hezbollah toka Sept 17,2024 walikatwa ngebe baada ya Operation Beeper 📟 ambayo iliwaangamiza maelfu ya Makamanda waandamizi wa Hezbollah na hatimaye siku iliyofuatia Sept 18,2024 Radio-calls za Hezbollah zote ziligeuka kuwa Mabomu na kuwaua na kuwajeruhi Makamanda waandamizi waliobakia.
Baada ya Operation Beeper 📟 ambayo iliwatengua viuno Hezbollah sasa ikabakia kazi moja tu ya kumpiga nyoka kichwani kitu ambacho kalifa ikiwa kwa 100% kwa kumuua Gaidi aliyekubuhu Hassan Nasrallah pamoja na Chain of command yake yote kitu ambacho Kilifanya IDF iogopeke kama Ukoma.
Kwa ujinga wako wewe unategemea Hezbollah wanafanya nini dhidi ya Israel? Watabaki kubweka tu kama Mbwa wa majumbani hawana uwezo wowote wa kulitikisa DUDE!!!! Wewe endelea tu kujifariji na kujipa moyo lakini kwa sasa Israel inaendesha Operations zake huko Lebanon kwa kuwaua magaidi mmoja baada ya mwingine na hutasikia Hezbollah wanaleta Nyokonyoko ya kurusha vikombola vyao huko kaskazini mwa Israel maana wanajua nini kitawatokea baada ya shambulio lao hilo!!!