Magaidi wa Hezbollah waitishia Lebanon kwa Vita vya wenyewe kwa wenyewe!!!

Waislam wa Jf watachukua side ipi? Ya magaidi au Serikali?
 
Huyo hizbulah ataliwa kichwa very soon, acha aendelee na mipasho yake tu
 
Wewe tatizo lako unamini maneno ya Israel sana. Hezbullah unasema imekwisha wakati wa ceasefire ilikuwa imefanywa bada ya Nasurlah kufa au yuko hai, je Hezbullah hakurusha Missiles bada ya hizo pager na Radio calls au unajitoa akili

Hata dunia ilishangaa vipi Hezbullah kiongozi wake kauliwe na 1st line Commanders na kaweza kuendeleza mshambulizi bada ya operation ya pagers na hizo Radio calls.

Mwambieni basi US awache kuwatia pressure serekali ya Lebanon wazivunje silaha za Hezbullah kama kweli Hezbollah Imekwisha. Kwanini Israel asingie ndani akazivunja hizo silaha vipi atumie Walebanon wapigane kwa niaba yake anacho ogopa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…