Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza.

Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
 
Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza.

Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah
Ukisikia precision strike ndio hii .

IDF being the best army in the world
 
Back
Top Bottom