wafia dini watakuja kwa jazbaMajeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
Mbona siku nyingi au huwa hunisomagi?Duh
Umefika huku tena
Nilijua umehamia Kongo mkuuMbona siku nyingi au huwa hunisomagi?
Huko ndio kwao ila kalazimika tu kuzamia Bongo!Nilijua umehamia Kongo mkuu
Huyu ni mtusiHuko ndio kwao ila kalazimika tu kuzamia Bongo!