Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Sept. 11 ilitokea 2001, ISIS unajua ilianzishwa mwaka gani?

Ni lini ISIS ilidai imefanya Sept. 11. Hiyo si ni sawa na ACT Wazalendo kudai ilileta uhuru wa Tanganyika.
soma iyooo
Screenshot_2024-03-24-11-18-10.jpg
 
ISIS walikuwa na mawasiliano na upande wa UKRAINE katika mission ya ku-cross border? Hapo Zelensky atamwambia nini Putin aeleweke?
 
ISIS walikuwa na mawasiliano na upande wa UKRAINE katika mission ya ku-cross border? Hapo Zelensky atamwambia nini Putin aeleweke?
Putin atafanya nini cha tofauti kwani hata kama ingekuwa ni kweli?
 
Huo "ushahidi" unaopatikana baada ya watuhumiwa wa ugaidi kuteswa huwa haukubaliki hata katika mahakama za watu waliostaarabika.

Hao watuhumiwa wanaweza kusema jambo lolote tu ili mradi liwapendeze wanaowahoji. Uchunguzi wa masuala ya ugaidi unahitaji intelijensia pana kuliko nguvu.
Tuambie Intelligencia yako umewashika wangapii
 
Wangemuua Putin ningefurahi sana sana , Ningeenda kule kitambaa Cheupe kukesha nikiwa nakunywa jägermeister
 
Back
Top Bottom