Tetesi: Magaidi waloshambulia Madina ni mkono wa Israel

Hivi ni kwanini waislamu kila jambo baya likwapata mnatafuta mchawi na kwanini dini yenu tu ndo inatumika na marekani kama mnavyosema wakati duniani kuna dini nyingi?
Because islam means peace and America is against peace
 
Nguvu kubwa mno inatumika humu ndani isiyo na tija,nabaki najiuliza:-

1. Hao waliowatuhumu wa Israel wanawasikia ??

2.Waisrael wanajua kuwa munawatetea na kuwapenda sana ??

3.Wewe unapungukiwa na nini kama mwarabu anamshutumu muisrael kiasi cha kufikia kumtusi/kumkejeli mtz/mweusi mwenzako kwa mambo yasiyokuhusu ??

4.Unamjumuhishaje muislamu asiyetoa neno lake kwenye hiyo kauli ???

5. Hivi ni kweli kabisa kabisa mtu mwenye akili ataumizwa na visivyo muhusu ???

Reading through the various comments kutoka kwa watu mbalimbali kwenye huu uzi, of course so does in other related threads, I became so much worried. Watanzania tumefika mahali watu hawawezi kujenga hoja kabisa bila kuburuzwa na conflict of interests....either za kichama au kidini etc etc. But with this contribution of yours mkuu nimeona kuwa kumbe bado we have some few sensible people around.
 
Ukiwa tu mwislamu tayari umepata cheti cha kulalama ovyo,Na ukipata tatizo hutaacha kulaumu Marekani,Au wanakombilia sasa hivi kwenye nchi wanazoziita wao MAKAFIRI Ambako wanafata maisha bora(nchi za magharibi),Israel au Wakristo hawawezi kuacha visingizio.ishakuwa desturi zao nasikia siku hizi wanaitwa WAZEE WA KULALAMA
Kaa kimya usiropoke ww [emoji35][emoji35] Jiulize Kwnn America haendi kupgana vita kwnye nchi za kikristo km Kongo, Burundi ambko kna watu wnatawala kwa mabavu na akaenda ncho km Libya na kusapoti waasi bdala y waasi wa M23 ? Ukijiulza hvyo utapata jbu kwmb Ukristo n UKAFIRI
 
kwa akili kama hizo ndo maana america inawashushiaga vipigo maana hamna namna
 
Kaa kimya usiropoke ww [emoji35][emoji35] Jiulize Kwnn America haendi kupgana vita kwnye nchi za kikristo km Kongo, Burundi ambko kna watu wnatawala kwa mabavu na akaenda ncho km Libya na kusapoti waasi bdala y waasi wa M23 ? Ukijiulza hvyo utapata jbu kwmb Ukristo n UKAFIRI
Toka lini mkakosa visingizio???
 
Nguvu kubwa mno inatumika humu ndani isiyo na tija,nabaki najiuliza:-

1. Hao waliowatuhumu wa Israel wanawasikia ??

2.Waisrael wanajua kuwa munawatetea na kuwapenda sana ??

3.Wewe unapungukiwa na nini kama mwarabu anamshutumu muisrael kiasi cha kufikia kumtusi/kumkejeli mtz/mweusi mwenzako kwa mambo yasiyokuhusu ??

4.Unamjumuhishaje muislamu asiyetoa neno lake kwenye hiyo kauli ???

5. Hivi ni kweli kabisa kabisa mtu mwenye akili ataumizwa na visivyo muhusu ???
tulia kwanza huu mchezo hauhitaji hasira....
 
kwa nini hawa jamaa wanatupiana shutuma badala ya kutafuta suluhisho la kudumu?

Mimi katika Maisha nimejifunza kwamba usitafute Mchawi bali tafuta njia Bora ya kutatua tatizo bila kutoa shutuma kwa mwenzako.

Hiyo ndiyo njia Bora ya kutatua tatizo.
Hasira za Waarabu ati Wayahudi wana elimu na walikataa kuwapa elimu na wao ndio Hasira wanawaita watu wa Kitabu
 
Back
Top Bottom