Magaidi wasihusishwe na Uislamu

Nafikiri ingependeza mngekemea hawa magaidi wasitumie jina la uislamu kwenye ugaidi wao

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuona mti usio na matunda ukapopolewa.
 
Vikundi hivyo vinaitumia Quran kuupigania Uislam Q9:5 Q8:12 Q47:4!
Kwa hiyo huwezi kuwatenga hao magaidi na dini ya uislam.
 
Huenda hawa radicals wanatafsiri vibaya maandishi ya Qur'an (ambavyo si ajabu kwa kuwa reasoning miongoni mwa waislam wengi ni tatizo)..lakini lililo la ajabu, ni ngumu kukuta wanazuoni wakiyakemea na kuyakanusha haya makundi. Siku zote hupiga kimya. Sasa kukaa kwao kimya ndio kunajenga hii dhana ya kwamba waislamu na uislam unabariki ugaidi.
 
Sasa ww kiazi Al Shabab kwa mfano wanadai haki gani pale Somalia? Na kudai haki huko ndio wawaue wenzao? Mnadhalilisha baadhi ya waislamu waonekane hamnazo.
 
Sasa ww kiazi Al Shabab kwa mfano wanadai haki gani pale Somalia? Na kudai haki huko ndio wawaue wenzao? Mnadhalilisha baadhi ya waislamu waonekane hamnazo.

alshabaab wa somalia wanatafuta haki ya kusimika utawala wa kiislam,wako sawa kabisa kwa mujibu wa imani yao.

nchi ya somali ina waislam 99.9% ila haifati misingi ya tawala za kiislam,ndicho ugomvi wao.
 
Je, taasisi husika imetoa tamko kuvipinga vikundi kama hivi hasa Hamas kwa tukio wanayofanya manake ukiangalia clip nyingi zilionesha watu wanafurahia hizo mauaji walifanya tena hadi watoto na wamama, kidogo inaleta ukakasi.
 
JANJAWEED, Katika miaka ya 1990, Janjaweed walikuwa wafuasi wa Waarabu ambao walifuata ajenda ya ndani ya kudhibiti ardhi, na walivumiliwa na Serikali ya Sudan ya Bashir dhidi ya Wakristo wachache na wenye rangi nyeusi kusini mwa Sudan. Wengi wa Waarabu wa Darfur, Baggara, walihusika katika vita vya eneo la malisho.
Mwaka 2023, ndani ya miezi mitatu Waislamu wa Janjaweed wameua Wakristo zaidi ya 700 kwa kuwachinja, alah labda atawalipa.
Vitendo vya Janjaweed vimeelezwa kuwa ni ubakaji wa mauaji ya halaiki, na sio wanawake tu, bali watoto pia. Pia kulikuwa na ripoti za watoto wachanga kupigwa bunduu hadi kufa, na ukeketaji wa waathiriwa ulikuwa wa kawaida.

Hawa jamaa walikua ni hatari sana.
 
Wana mnyaazi aka wavaa kobazi wao ni magaidi na ugaidi ndio dini yao. Uislam ni ugaidi
 
Kwa namna rahisi ya kueleza makundi haya yana lengo moja kuu
1. KUENEZA UISLAM KWA NGUVU
Ndani sababu hii ndipo
1. Huweka sharia kama kanuni ambazo lazima zifuatwe

2. Hulazimisha kwa kuua asiyeamini yaani kueneza dini kwa upanga i.e Jihad

3. Hutumia jina la Allah kama kinga na kuaminisha waislam wenzao duniani ili wapate kukubalika

4. Kwao kuua ni swababu na kujipatia daraja peponi( bikra 72)

5. Wanaamini Uislam unahitajika kuenea duniani .

N.B Makundi haya ni ya kupingwa na kila mpenda Haki awe Muislam au Mkristo au asiye na dini
 
Umesahau ADF huko kwenye mpaka wa Congo na Uganda. Miezi ya hivi karibuni walivamia shule ya sekondari na kuuwa wanafunzi zaidi ya arobaini na kisha kuchoma shule moto?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…