Magaidi wasihusishwe na Uislamu

Magaidi wasihusishwe na Uislamu

WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.

Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?
JE, Wale wanaopigwa na Waislamu wameshindwa na wao kujitetea au dini zao haziruhusu kujitetea?
Je, umewahi kusikia kundi la kigaidi la Kristo?
Nimekupa historia ya makundi ya kigaidi ya kiislamu, naomba nawe nipatie ya kikristo ya kigaidi ili mjadala u-balance alafu tuchangie sasa hoja.

KIBITI TANZANIA: Hapo ni Tanzania, miaka ya 2016-18 , hawa sijapata habari zaidi, naomba mwenye nazo atujuze .

ISLAMIC JIHAD wanaoishi Palestina The Palestine Islamic Jihad (PIJ) ni kundi la waislamu ma-Sunni Islamist wanaotaka kuundani nchi ya kisuni ya Palestinian ambayo imedhamiria kuifuta Israel.

Magaidi HAMAS ,Hamas ni shirika la Wapalestina la Kiislamu ambalo lina mirengo ya kisiasa na kivita. Ilianzishwa mwaka 1987 wakati wa Intifadha ya Kwanza (maasi ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Israel). Hamas inachukuliwa kuwa shirika la kigaidi na nchi na mashirika kadhaa, ikiwa ni pamoja na Marekani, Israel, Umoja wa Ulaya, na wengine. Inajulikana kwa shughuli zake za kijeshi na udhibiti wake juu ya Ukanda wa Gaza, eneo katika maeneo ya Palestina .

JANJAWEED, Katika miaka ya 1990, Janjaweed walikuwa wafuasi wa Waarabu ambao walifuata ajenda ya ndani ya kudhibiti ardhi, na walivumiliwa na Serikali ya Sudan ya Bashir dhidi ya Wakristo wachache na wenye rangi nyeusi kusini mwa Sudan. Wengi wa Waarabu wa Darfur, Baggara, walihusika katika vita vya eneo la malisho.
Mwaka 2023, ndani ya miezi mitatu Waislamu wa Janjaweed wameua Wakristo zaidi ya 700 kwa kuwachinja, alah labda atawalipa.
Vitendo vya Janjaweed vimeelezwa kuwa ni ubakaji wa mauaji ya halaiki, na sio wanawake tu, bali watoto pia. Pia kulikuwa na ripoti za watoto wachanga kupigwa bunduu hadi kufa, na ukeketaji wa waathiriwa ulikuwa wa kawaida.

TALIBAN: Taliban ni kundi la Kiislamu lenye msimamo mkali ambalo lilianzia Afghanistan mwanzoni mwa miaka ya 1990. Jina "Taliban" hutafsiriwa kwa "wanafunzi" katika Kipashto, kuonyesha asili yao katika shule za kidini. Kundi hilo lilipata usikivu wa kimataifa na sifa mbaya kwa tafsiri yao kali ya sheria za Kiislamu na utawala wao nchini Afghanistan kutoka 1996 hadi 2001.

BOKO HARAM: Boko Haram ni kundi la wanamgambo wa jihadi lenye makao yake kaskazini mashariki mwa Nigeria. Ilianzishwa mwaka 2002 na tangu wakati huo imepanua shughuli zake hadi nchi jirani katika Bonde la Ziwa Chad, ikiwa ni pamoja na Cameroon, Chad, na Niger. Jina la kikundi, "Boko Haram," linatafsiriwa kwa urahisi kuwa "elimu ya Magharibi imekatazwa" katika lugha ya Kihausa. Boko Haram inajulikana kwa uasi wake mkali, unaojumuisha vitendo vya kigaidi, utekaji nyara, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Kundi hilo linataka kuanzisha aina kali ya sheria za Kiislamu katika eneo hilo na limehusika na ukatili mwingi. Inajulikana sana kama shirika la kigaidi na nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa. LImeua wakristo zaidi ya 6000 na kuteka watoto 300 na kuwapa mimba wote, wengine waliojaribu kutoroka waliuawa maeneo ya maiduguri.​
Boko Haram, inayo maanisha “Jama'atu Ahl as-Sunnah li-Da'awati wal-Jihad” (JASDJ; Group of the Sunni People for the Calling and Jihad) and “Nigerian Taliban”—other translations and variants are used—is a Nigeria-based group that seeks to overthrow the current Nigerian Government and replace it with a regime

AL QUEDA IN MGREV:Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu linalofanya kazi katika eneo la Afrika Kaskazini linalojulikana kama Maghreb, ambalo linajumuisha nchi kama Algeria, Mali, Niger, Mauritania, Tunisia, na Libya. AQIM ni mshirika wa mtandao wa kimataifa wa wanajihadi wa al-Qaeda na iliibuka katikati ya miaka ya 2000 kutoka kwa kundi la wanajihadi la Algeria liitwalo Kundi la Salafist la Kuhubiri na Kupambana (GSPC).
Malengo: Lengo kuu la AQIM ni kuanzishwa kwa mataifa ya Kiislamu yanayotawaliwa na tafsiri kali ya sheria za Kiislamu katika eneo la Maghreb. Pia wameonyesha hisia dhidi ya Magharibi na wamelenga maslahi ya Magharibi.
Shughuli: Kundi hili limehusika katika shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, milipuko ya mabomu, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Wamehusika na vitendo vingi vya kigaidi katika eneo hilo.
LENGO kuu ni kufanya west africa iwe Eneo La kiislamu/sharia.

AL MUJAWIN BIN DIMA:Mnamo Desemba 2012, Mokhtar Belmokhtar, kamanda wa zamani wa Al Qaida katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM), aliunda al-Muwaqi'un Bil Dima (MBD), kwa lengo la kuzuia uingiliaji wa kijeshi wa Magharibi na Afrika kaskazini mwa Mali na kuweka Sheria ya Sharia. katika Afrika Kaskazini.

ABU SAYAF GROUP:Kundi la Abu Sayyaf (ASG) lilijitenga kutoka Kundi la Kitaifa la Ukombozi la Moro mwanzoni mwa miaka ya 1990 na ni mojawapo ya makundi ya kigaidi yenye jeuri zaidi nchini Ufilipino. Ikiathiriwa na al-Qa'ida mapema, ASG inadai kukuza dola huru ya Kiislamu magharibi mwa Mindanao na Visiwa vya Sulu..
A Shirika la kimataifa la kigaidi lililoanzishwa na Sabri al-Banna (a.k.a Abu Nidal). Iligawanywa kutoka PLO mwaka wa 1974. Iliundwa na kamati mbalimbali za utendaji, ikiwa ni pamoja na kisiasa, kijeshi, na kifedha. Mnamo Novemba 2002, Abu Nidal alikufa huko Baghdad; uongozi mpya wa shirika hauko wazi.​

Mjadala huu hau-husiani na kufukuzwa kwa Robertinho hapo msimbazi, kocha aliyekataa ushauri hata kwa wasaidizi wake.
Nafikiri ingependeza mngekemea hawa magaidi wasitumie jina la uislamu kwenye ugaidi wao

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuona mti usio na matunda ukapopolewa.
 
Vikundi hivyo vinaitumia Quran kuupigania Uislam Q9:5 Q8:12 Q47:4!
Kwa hiyo huwezi kuwatenga hao magaidi na dini ya uislam.
 
Huenda hawa radicals wanatafsiri vibaya maandishi ya Qur'an (ambavyo si ajabu kwa kuwa reasoning miongoni mwa waislam wengi ni tatizo)..lakini lililo la ajabu, ni ngumu kukuta wanazuoni wakiyakemea na kuyakanusha haya makundi. Siku zote hupiga kimya. Sasa kukaa kwao kimya ndio kunajenga hii dhana ya kwamba waislamu na uislam unabariki ugaidi.
 
uislam unahusishwa na stara(mavazi).

uislam unahusishwa na mfumo wa maisha.

uislam unahusishwa na afya bora(swaumu)

uislam unahusishwa na kutodhurumu(haki)

hayo makundi yote yanayoitwa ya kigaidi,ni makundi yanayodai haki,ambayo ni halali yao na ni moja ya dalili za kiislam,kwanini uislam usihusike hapo?

Tukisema HAMMAS wafate kanuni za kikristo(ukipigwa shavu hili geuza na la upande mwingine),hata wewe utawaona wamejitenga na uislam.
Sasa ww kiazi Al Shabab kwa mfano wanadai haki gani pale Somalia? Na kudai haki huko ndio wawaue wenzao? Mnadhalilisha baadhi ya waislamu waonekane hamnazo.
 
alshabaab wa somalia wanatafuta haki ya kusimika utawala wa kiislam,wako sawa kabisa kwa mujibu wa imani yao.

nchi ya somali ina waislam 99.9% ila haifati misingi ya tawala za kiislam,ndicho ugomvi wao.
 
Je, taasisi husika imetoa tamko kuvipinga vikundi kama hivi hasa Hamas kwa tukio wanayofanya manake ukiangalia clip nyingi zilionesha watu wanafurahia hizo mauaji walifanya tena hadi watoto na wamama, kidogo inaleta ukakasi.
 
JANJAWEED, Katika miaka ya 1990, Janjaweed walikuwa wafuasi wa Waarabu ambao walifuata ajenda ya ndani ya kudhibiti ardhi, na walivumiliwa na Serikali ya Sudan ya Bashir dhidi ya Wakristo wachache na wenye rangi nyeusi kusini mwa Sudan. Wengi wa Waarabu wa Darfur, Baggara, walihusika katika vita vya eneo la malisho.
Mwaka 2023, ndani ya miezi mitatu Waislamu wa Janjaweed wameua Wakristo zaidi ya 700 kwa kuwachinja, alah labda atawalipa.
Vitendo vya Janjaweed vimeelezwa kuwa ni ubakaji wa mauaji ya halaiki, na sio wanawake tu, bali watoto pia. Pia kulikuwa na ripoti za watoto wachanga kupigwa bunduu hadi kufa, na ukeketaji wa waathiriwa ulikuwa wa kawaida.

Hawa jamaa walikua ni hatari sana.
 
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.

Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?
JE, Wale wanaopigwa na Waislamu wameshindwa na wao kujitetea au dini zao haziruhusu kujitetea?
Je, umewahi kusikia kundi la kigaidi la Kristo?
Nimekupa historia ya makundi ya kigaidi ya kiislamu, naomba nawe nipatie ya kikristo ya kigaidi ili mjadala u-balance alafu tuchangie sasa hoja.

KIBITI TANZANIA: Hapo ni Tanzania, miaka ya 2016-18 , hawa sijapata habari zaidi, naomba mwenye nazo atujuze .

ISLAMIC JIHAD wanaoishi Palestina The Palestine Islamic Jihad (PIJ) ni kundi la waislamu ma-Sunni Islamist wanaotaka kuundani nchi ya kisuni ya Palestinian ambayo imedhamiria kuifuta Israel.

Magaidi HAMAS ,Hamas ni shirika la Wapalestina la Kiislamu ambalo lina mirengo ya kisiasa na kivita. Ilianzishwa mwaka 1987 wakati wa Intifadha ya Kwanza (maasi ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Israel). Hamas inachukuliwa kuwa shirika la kigaidi na nchi na mashirika kadhaa, ikiwa ni pamoja na Marekani, Israel, Umoja wa Ulaya, na wengine. Inajulikana kwa shughuli zake za kijeshi na udhibiti wake juu ya Ukanda wa Gaza, eneo katika maeneo ya Palestina .

JANJAWEED, Katika miaka ya 1990, Janjaweed walikuwa wafuasi wa Waarabu ambao walifuata ajenda ya ndani ya kudhibiti ardhi, na walivumiliwa na Serikali ya Sudan ya Bashir dhidi ya Wakristo wachache na wenye rangi nyeusi kusini mwa Sudan. Wengi wa Waarabu wa Darfur, Baggara, walihusika katika vita vya eneo la malisho.
Mwaka 2023, ndani ya miezi mitatu Waislamu wa Janjaweed wameua Wakristo zaidi ya 700 kwa kuwachinja, alah labda atawalipa.
Vitendo vya Janjaweed vimeelezwa kuwa ni ubakaji wa mauaji ya halaiki, na sio wanawake tu, bali watoto pia. Pia kulikuwa na ripoti za watoto wachanga kupigwa bunduu hadi kufa, na ukeketaji wa waathiriwa ulikuwa wa kawaida.

TALIBAN: Taliban ni kundi la Kiislamu lenye msimamo mkali ambalo lilianzia Afghanistan mwanzoni mwa miaka ya 1990. Jina "Taliban" hutafsiriwa kwa "wanafunzi" katika Kipashto, kuonyesha asili yao katika shule za kidini. Kundi hilo lilipata usikivu wa kimataifa na sifa mbaya kwa tafsiri yao kali ya sheria za Kiislamu na utawala wao nchini Afghanistan kutoka 1996 hadi 2001.

BOKO HARAM: Boko Haram ni kundi la wanamgambo wa jihadi lenye makao yake kaskazini mashariki mwa Nigeria. Ilianzishwa mwaka 2002 na tangu wakati huo imepanua shughuli zake hadi nchi jirani katika Bonde la Ziwa Chad, ikiwa ni pamoja na Cameroon, Chad, na Niger. Jina la kikundi, "Boko Haram," linatafsiriwa kwa urahisi kuwa "elimu ya Magharibi imekatazwa" katika lugha ya Kihausa. Boko Haram inajulikana kwa uasi wake mkali, unaojumuisha vitendo vya kigaidi, utekaji nyara, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Kundi hilo linataka kuanzisha aina kali ya sheria za Kiislamu katika eneo hilo na limehusika na ukatili mwingi. Inajulikana sana kama shirika la kigaidi na nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa. LImeua wakristo zaidi ya 6000 na kuteka watoto 300 na kuwapa mimba wote, wengine waliojaribu kutoroka waliuawa maeneo ya maiduguri.​
Boko Haram, inayo maanisha “Jama'atu Ahl as-Sunnah li-Da'awati wal-Jihad” (JASDJ; Group of the Sunni People for the Calling and Jihad) and “Nigerian Taliban”—other translations and variants are used—is a Nigeria-based group that seeks to overthrow the current Nigerian Government and replace it with a regime

AL QUEDA IN MGREV:Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu linalofanya kazi katika eneo la Afrika Kaskazini linalojulikana kama Maghreb, ambalo linajumuisha nchi kama Algeria, Mali, Niger, Mauritania, Tunisia, na Libya. AQIM ni mshirika wa mtandao wa kimataifa wa wanajihadi wa al-Qaeda na iliibuka katikati ya miaka ya 2000 kutoka kwa kundi la wanajihadi la Algeria liitwalo Kundi la Salafist la Kuhubiri na Kupambana (GSPC).
Malengo: Lengo kuu la AQIM ni kuanzishwa kwa mataifa ya Kiislamu yanayotawaliwa na tafsiri kali ya sheria za Kiislamu katika eneo la Maghreb. Pia wameonyesha hisia dhidi ya Magharibi na wamelenga maslahi ya Magharibi.
Shughuli: Kundi hili limehusika katika shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, milipuko ya mabomu, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Wamehusika na vitendo vingi vya kigaidi katika eneo hilo.
LENGO kuu ni kufanya west africa iwe Eneo La kiislamu/sharia.

AL MUJAWIN BIN DIMA:Mnamo Desemba 2012, Mokhtar Belmokhtar, kamanda wa zamani wa Al Qaida katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM), aliunda al-Muwaqi'un Bil Dima (MBD), kwa lengo la kuzuia uingiliaji wa kijeshi wa Magharibi na Afrika kaskazini mwa Mali na kuweka Sheria ya Sharia. katika Afrika Kaskazini.

ABU SAYAF GROUP:Kundi la Abu Sayyaf (ASG) lilijitenga kutoka Kundi la Kitaifa la Ukombozi la Moro mwanzoni mwa miaka ya 1990 na ni mojawapo ya makundi ya kigaidi yenye jeuri zaidi nchini Ufilipino. Ikiathiriwa na al-Qa'ida mapema, ASG inadai kukuza dola huru ya Kiislamu magharibi mwa Mindanao na Visiwa vya Sulu..
A Shirika la kimataifa la kigaidi lililoanzishwa na Sabri al-Banna (a.k.a Abu Nidal). Iligawanywa kutoka PLO mwaka wa 1974. Iliundwa na kamati mbalimbali za utendaji, ikiwa ni pamoja na kisiasa, kijeshi, na kifedha. Mnamo Novemba 2002, Abu Nidal alikufa huko Baghdad; uongozi mpya wa shirika hauko wazi.​

Mjadala huu hau-husiani na kufukuzwa kwa Robertinho hapo msimbazi, kocha aliyekataa ushauri hata kwa wasaidizi wake.
Wana mnyaazi aka wavaa kobazi wao ni magaidi na ugaidi ndio dini yao. Uislam ni ugaidi
 
Kwa namna rahisi ya kueleza makundi haya yana lengo moja kuu
1. KUENEZA UISLAM KWA NGUVU
Ndani sababu hii ndipo
1. Huweka sharia kama kanuni ambazo lazima zifuatwe

2. Hulazimisha kwa kuua asiyeamini yaani kueneza dini kwa upanga i.e Jihad

3. Hutumia jina la Allah kama kinga na kuaminisha waislam wenzao duniani ili wapate kukubalika

4. Kwao kuua ni swababu na kujipatia daraja peponi( bikra 72)

5. Wanaamini Uislam unahitajika kuenea duniani .

N.B Makundi haya ni ya kupingwa na kila mpenda Haki awe Muislam au Mkristo au asiye na dini
 
Umesahau ADF huko kwenye mpaka wa Congo na Uganda. Miezi ya hivi karibuni walivamia shule ya sekondari na kuuwa wanafunzi zaidi ya arobaini na kisha kuchoma shule moto?!
IMG_3816.png
 
Back
Top Bottom